Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani mnangoja serikali iwajengee 16 buildings? Bunch of lazy dudes. In Kenya hio ni kazi ya private sector, I know of more than 10 high rise buildings (15+ floors) that have broken ground today in Nairobi alone, none of them is being built by the government
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ First of all umefungua hiyo video.? Nimeandika wapi kama serikali ndio inajenga hizo gorofa.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Pili ni hiyo empty talk yenye nime bold hapo juu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwamba unajua gorofa 10 zenye ziko na 15 floors zilizoanza ujenzi leo pekee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
 
Didn't I see your grandmother in Vatican and Norway just the other day? Unasema serikali yetu inafuja pesa (which I agree 100% with you), but have you first seen the log in your own eye? Mko na madini kama yote na bado nchi ni maskini tu. Kenya's most valuable mineral is Soda Ash ambayo ni chumvi. Unajua thamani ya chumvi kweli? At least we can say we have a good reason of borrowing. Nyinyi na hizo rasimilmali zenu zote mnaendelea vipi?
Mbona nyie mna oil lakini bado ni masikini?
 
Inawauma sana that foreigners are choosing to invest heavily in Kenya instead of Uswazi?
So, you want to tell me foreigners have chosen to invest in Kenya than in China? Why the Chinese government is also responsible for the construction of many infrastructures in China? You Kenyans are mad, dumb and shit that's why you have decided to leave to the whites the construction of country's infrastructures. You guys am telling you, if not whites, somalis, Chinese and Indians your country could be the most failed state than it is today.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ First of all umefungua hiyo video.? Nimeandika wapi kama serikali ndio inajenga hizo gorofa.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Pili ni hiyo empty talk yenye nime bold hapo juu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwamba unajua gorofa 10 zenye ziko na 15 floors zilizoanza ujenzi leo pekee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Hehehe. Construction is everywhere mpaka we have mixed reactions from residents, some opposing the
developments. The construction boom is so massive that constructions are happening even at night.

View: https://x.com/JerotichSeii/status/1758587462077534477?s=20

View: https://x.com/JerotichSeii/status/1753471466752905593?s=20

So, you want to tell me foreigners have chosen to invest in Kenya than in China? Why the Chinese government is also responsible for the construction of many infrastructures in China? You Kenyans are mad, dumb and shit that's why you have decided to leave to the whites the construction of country's infrastructures. You guys am telling you, if not whites, somalis, Chinese and Indians your country could be the most failed state than it is today.
Ndiyo swali ninawauliza, inawauma that whites, Chinese, Somali and other foreigners wana invest heavily in Kenya and not Uswazi?
 
Tanzania maskini kwa kigezo kipi, tunawazidi kwa thamani ya miradi inayofanywa kwa sasa, tuna modern infrastructures kuwazidi, tuna chakula cha kutosha kuwazidi, kitu pekee unachoringia ni historia na ambapo muwashukuru wazungu, wasomali na wachina, kukosa hivyo mngekuwa hovyo zaidi ya hapo.
Leo watchman amereason kuliko kondoo kumi. Congratulations ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Wameanza kutuiga mpaka kula mihogo, Kunyaland hawawezi kuishi bila Tanzania kabisa saivi kwenye restaurants zao eti wana mihogo kama coco ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

View attachment 2906514
Nyinyi mnakula mihogo imechemswa kama mahindi. Kenya mihogo imekuwa fried. There's a big difference there. Again in Tanzania mnakula mihogo asubuhi, lunch na dinner
No wonder kila mtu Ako na kwashiorkor Tanzania. In Kenya mihogo is for fun.
 
Unaweza kutuonesha Internet speed ya simu yako?
 
Back
Top Bottom