President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,543
- 94,039
Ulishawahi hata kutoka nje ya nchi yako? Unaijua Congo au Mama Ngina anakupatia hizo hadithi?Kule Congo ni kunoma....civilians ndio wanaumia because of idiots and their grandiose egos. South Africa has lost some soldiers
π€£ π€£ π€£ π€£ Kingereza hujui na Kiswahili hujui. Wewe ni popoWatakuambia 'tunawarisha' yet they can't feed themselves. π π
Unaona watu wanaandamana na wanasindikizwa na Polisi. Ingekuwa kenya Vurugu ingekuwa kubwa mno π€£π€£π€£Wameamua kuandamana. Uoga uliisha ama? Hehehe
Anasoma post za robot za wajinga kutoka Rwanda kule X halafu anakuja humu kutoa comment za upuuzi.Ulishawahi hata kutoka nje ya nchi yako? Unaijua Congo au Mama Ngina anakupatia hizo hadithi?
Huyu anayehoji ni kilazaKenya kama mnafikiri Dar imemaliza kuwashangaza basi mmejidanganya naislum imeshajifia tayari haina hata project ya USD million 1 inayoendelea
Inner and outer ring roads 130km zinakuja, modern cable stayed bridge ferry nalo laja angalia dakika ya 16:00 kwenye video
View: https://youtu.be/_OuEqJGXHZg?si=BISuSNk3z72ZjYQq
Si huwa mnapost new sugarcane factories hapaNi kweli sukari imehadimika Tanzania.
Asa kwanini wananchi wasichukue hatua stahiki??
yep
Shida hili taifa watu hufanya mambo kwa maslahi yao binafsi.Si huwa mnapost new sugarcane factories hapa
Ama ni PR za money laundering za wahindi wa TZ????
Kenya haikucheza CHAN. Kumbe unapanua mdomo hapa hata ball πππ€£.
[/QUOT
Hufuatilii mpira kaa unyamaze
Haikusaidia wewe una drop mwenzako anapanda juu??
Yuko sahihi.I didnβt know this Tanzanian mentality iko hadi kwenye bunge. I thought ni ya jf tu π
Kumbe we can use this platform to generalize how Tanzanians think as a whole
View: https://x.com/kevinmuruta/status/1755656059107119352?s=46
La mamayeeee. Nyani keshatema bungooo.Anasoma post za robot za wajinga kutoka Rwanda kule X halafu anakuja humu kutoa comment za upuuzi.
Unashindwa ku relate bond mpya ya serikali iliyokuwa issued yenye thamani ya USD 1.5bn pamoja na mabilioni ya IMF and WB na kupanda kwa thamani ya KSH. Hiyo ni simple mambo ya supply and demand hivyo usifurahie sana maana hiyo positive trend haiko attributed to economic strength ni temporary gain. Hata kwenye money markets kuna vipindi currency ina rally and vipindi vingine ina loose the ground.
Wazalendo ni wakazi wa asili wa nord kivu,goma,sake,bunagana n.k,rebel ni hao m23 warwanda watutsi walioingia congo kipindi cha habyarimana regime mobutu akawaacha free wakazaana ndio hao wanaodai sasa hivi na wao ni wacongo wa kuzaliwa,kule kigoma kuna refugee camp ya warundi toka miaka ya 90 kama ilivyo kagera,wale washazaana na kujukuu iwapo wangeachiwa kama east congo saa hizi wangekua wanacomplain ni wa TZWapo, ndo wanaitwa Wazalendo au Rebel
Not a single win in the history of AFCON. Now that's consistency πTz Iko na consistency gani in football?πππ€£π€£π€£.
Ama unaongelea consistency ya not winning a match in AFCON history and not winning a match against Kenya in normal time?π