ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,448
- 89,848
Ila viwanda vyenu vinachekesha Yaani hapo unakenua meno kisa bil.26 kama ulivyokenua meno Toyota kuweka garage ya bil.12 ππ
Wakenya kuweni makini hili ni onyo.
View: https://twitter.com/mbalamukadi01/status/1755707970879410456
Hata ingekuwa wewe ni M23/RDF kwa nini usitoe mlio, sasa imagine vyuma kama hivi vililipuka masaa 6 gongo la mboto, imagine yale mabomu yote yaelekezwe Kikali,
FYI Rwanga yote ni ndogo kuliko Wilaya Nyingi za Tanzania.
NOTE: Siwezi kuthibitisha kama video ni Congo, lakiini kwa Lugha na Uniform kwa asilimia 101% hawa ni JWTZ
Kenya be warned, Nairobi ni ndogo kama Ilala
Sasa hicho kitangazo umekitengeneza kwa kutumia canva unajiona mjanja mwenyewe π π π
Sasa unaona kabisa hapo ni national park. Unataka na wanyama wajengewe lami? Hizi ni akili za kishezi. Jaribu tena π π π π
Kiwanda cha tshs bilioni 12 hicho ni kiwanda au gereji.Pain successfully delivered to uchawiland.
View: https://twitter.com/3milesahead/status/1755291371848544349?s=19
ππππThank God umesema ukame, a natural occurance. But just to let you know, just Google the word'nyama choma' uone ni nchi gani itatajwa wa kwanza. Kenya is synonymous with nyama and you won't change that fact hata ulie machozi ya damu
Hata ikiwa triple inawasaidia nini kunyan,ikiwa mradi m1 tu wa sgr umewashinda umeishia porini,ajira hamna rais wenu amejipa kazi ya kuwaombea kazi hata za kufagia barabara nje ya kundustanUnajua maana ya GDP per capita? ππππππ Unajua Kenya iko na double GDP per capita ya Bongolala?
Msukuma na uarabu in one sentence?πππ€£π Even you I think you can see that you are forcing issues here. Msukuma ni msukuma na mwarabu ni mwarabu, none can be both. As for Somalis, they are called so because Somali is a culture. These people are both in Kenya, Somalia, Ethiopia, Eritrea and Djibouti. Just like Luos, there are Luos of Kenya, Luos of Uganda and Luos of Tanzania.ushaenda mwanza ukakutana na waarabu wasukuma au unaongea ujinga usema huyo ni muiran nasema wasukuma ambao ni waarabu pure unalijua hili?
What's LAPSSET according to you?30 years now mnapigwa porojo za Lapsset
Kwa hiyo Lapsset ni Barabara si ndio? ππ
What do you understand by the term "Transport Corridor"?30 years now mnapigwa porojo za Lapsset
Kwa hiyo Lapsset ni Barabara si ndio? ππ
Sasa hicho kitangazo umekitengeneza kwa kutumia canva unajiona mjanja mwenyewe π π π
Who is Karen?
Mzee wa real data ππππ kaokota tu huko sijui nani kaandika Halafu kaleta. ππππ Kwa mimi muuza mbuzi nafurahi kuona hii. My dear sister or brother Tanzania nyama ni kama basic need mzee, nyama inaliwa mno nchi nzima, sio kaskazini, mashariki, magharibi wala kusini. Tz ndio nchi inaongoza kwa kufuga top three in Africa.Who is Karen?
The real figures ndio hizi hapa. Tanzania wakule nyama mingi kuliko Kenya wakitoa nyama wapi?
View attachment 2899275View attachment 2899276
Fool u talk of projections! if we r more food sufficient than u what's the fuzzy about meat?Who is Karen?
The real figures ndio hizi hapa. Tanzania wakule nyama mingi kuliko Kenya wakitoa nyama wapi?
View attachment 2899275View attachment 2899276
Hii taarifa nakupa ni kutoka kwenye credible source, kutoka kwa serikali sio hizo takataka mnaandika nyie wakunya halafu mnanipostisha humu ππππ Tz kwa mwaka 2021-2022 tulikua tuna consume 830k tones. π"Idadi ya mifugo nchini imeongezeka kutoka ngβombe milioni 35.3 hadi ngβombe milioni 36.6. β Millard Ayo" Idadi ya mifugo nchini imeongezeka kutoka ngβombe milioni 35.3 hadi ngβombe milioni 36.6.. Can you please do the same? Leta taarifa kutoka chanzo kinachoaminika sio unaokota ukota takataka unaleta humuWho is Karen?
The real figures ndio hizi hapa. Tanzania wakule nyama mingi kuliko Kenya wakitoa nyama wapi?
View attachment 2899275View attachment 2899276
Ukiona taarifa zao zimewekwa in comparison ujue hizo wameandaa wenyewe kuihadaa dunia. ππππFool u talk of projections! if we r more food sufficient than u what's the fuzzy about meat?
Hana jeuri ya kuwa na msimamo na kukataa wazi wazi kama MuseveniRais kielezea msimamo wa Tanzania na Africa Kwa masuala hayo.