Upande mmoja inaonekana hiviWapi kati ya hizi unaongelea wewe? 😂😂😂 Unajua maana ya Arena kwanza?
View attachment 2896277View attachment 2896278View attachment 2896279
Kimya kimya. Msiwaambie.🤣🤣🤣"Kama London Mwanangu"😂
View attachment 2896203
Arusha ipo na ukubwa wa 37,576 km² unataka ionekane kwenye kapicha hako kamoja?
Ulifanya kitu cha maana sana kucapture hilo jengo wanaloshinda wakipost humu otherwise wangekuambia umeokota picha ya 1990s mtandaoni.🤣🤣🤣
Uzuri wa slums huwa hainaga adabu 😂😂😂This is SinzaView attachment 2896260View attachment 2896261
Doesn't even come close to little-known places in Nairobi like Imara Daima below kn terms of highrises and general lookView attachment 2896263View attachment 2896264View attachment 2896265View attachment 2896266View attachment 2896267View attachment 2896268
And then here comes Mwenge with one blue tower sticking out like a sour thumb 😂😂😂Endelea Baada ya kijito nyama kuna Morocco hujaiweka, kuna Mwenge hujaiweka. Vipi kuhusu Sinza? Oyster Bay vipi? Umewahi kusikia kitu kinaitwa Masaki? Oh Bado hujaongelea Mikocheni mwanangu. Kwanini unajibana sana. Jaribu kuzungukia Maeneo ya Mbezi beach pia utakuja kunishukuru.
Kumbe ndiyo maana Khabib Nurmagomedov anapenda kusema, "smesh" akimaanisha smash. Neno la kirusi "Смерч" (tornado) linafanana na style yake ya "I will change your face" kwasababu tornado hubadilisha sura ya sehemu likipita.BM-30 Smerch
Hicho kiwanja cha pili ni retractable pitches kama Santiago Bernabeu. Yani unaweza ukatoa surface ya football ukaweka ya Basketball ama concert ukitaka. Usilinganishe hiyo high level technology na huo ufala wenu wa kupiga zege Kando ya running track eti owe basketball court. Halafu court yenyewe imetengenezwa kijuakali juakali.Wapi kati ya hizi unaongelea wewe? 😂😂😂 Unajua maana ya Arena kwanza?
View attachment 2896277View attachment 2896278View attachment 2896279
Jengo lenyewe hata hawamilikiUlifanya kitu cha maana sana kucapture hilo jengo wanaloshinda wakipost humu otherwise wangekuambia umeokota picha ya 1990s mtandaoni.🤣🤣🤣
I didn't want to miss that building plus kale kahoteli kamoja wamekuwa wakipost kila mara😂😂😂😂😂Ulifanya kitu cha maana sana kucapture hilo jengo wanaloshinda wakipost humu otherwise wangekuambia umeokota picha ya 1990s mtandaoni.🤣🤣🤣
CBD kwenda Mwenge ni more than 10km hebu tupatie 10km kutoka CBD ya NairobiAnd then here comes Mwenge with one blue tower sticking out like a sour thumb 😂😂😂
View attachment 2896288View attachment 2896289View attachment 2896290View attachment 2896291
Compare that to EastleighView attachment 2896298View attachment 2896300View attachment 2896301View attachment 2896302View attachment 2896303View attachment 2896304
Kwanza nenda ujue maana ya settlements alaf urudi hapa 🤣🤣🤣🤣🤣It's only foolish Tanzanians that will believe this tweet.
In tweet it's stated that Kibera has 2,500,000 people in 200 settlements.
So in short each settlement will have 2,500,000/200 =12,500.
Hiyo inamaanisha 12,500 are staying in one house😂😂😂
View attachment 2896202
Refugee wewe unajua nini kuhusu settlement?Kwanza nenda ujue maana ya settlements alaf urudi hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee wa imara daima 🤣🤣🤣🤣 NicxieUzuri wa slums huwa hainaga adabu 😂😂😂View attachment 2896297
Nenda kajifunze kwanza maana ya settlements alaf utaamini kweli shule hamkusoma 🤣🤣🤣🤣Refugee wewe unajua nini kuhusu settlement?
Hapa mnabishana na watu washenzi sanaUlitaka majengo yashikane. 😂😂😂😂
Tumefika Mikocheni sasa. A few high-rises hapa na pale but I understand this is one of your most affluent neighborhoodsEndelea Baada ya kijito nyama kuna Morocco hujaiweka, kuna Mwenge hujaiweka. Vipi kuhusu Sinza? Oyster Bay vipi? Umewahi kusikia kitu kinaitwa Masaki? Oh Bado hujaongelea Mikocheni mwanangu. Kwanini unajibana sana. Jaribu kuzungukia Maeneo ya Mbezi beach pia utakuja kunishukuru.