Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • Screenshot_2024-02-06-19-10-18-43_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-06-19-10-18-43_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    115 KB · Views: 5
Tag me the day that weak army will appear in top 20 strongest armies in Africa.
Ingelikua rankings zinafanya kazi mpaka vitani leo hii Houthi Yemen asingefunga red sea mpaka USA aliekua first ranked ashindwe kupita red sea.
Vita ni mbinu ukiachana na wingi wa silaha.
Nina mifano ya majeshi mengi yaliodharauliwa na yakapigana na high ranked millitaries na wakawatandika.
Nikupe mifano ujifunze?
 

BM-30 Smerch

Operators
View attachment 2896192

Mass: 43.7 t
Length: 12 m (39 ft 4 in)
Width: 3.05 m (10 ft)
Height: 3.05 m (10 ft)
Crew: 3
Caliber: 300 mm
Barrels: 12
Maximum firing range: 120 km (75 mi) (9M542 rocket)
200 km (120 mi) (9M544 rocket)

View attachment 2896194
Hii jirani akijichokonoa tu tunamchambisha.
Tunazisogeza Kilimanjaro Au Arusha tu kazi inaanza.
 
Endelea Baada ya kijito nyama kuna Morocco hujaiweka, kuna Mwenge hujaiweka. Vipi kuhusu Sinza? Oyster Bay vipi? Umewahi kusikia kitu kinaitwa Masaki? Oh Bado hujaongelea Mikocheni mwanangu. Kwanini unajibana sana. Jaribu kuzungukia Maeneo ya Mbezi beach pia utakuja kunishukuru.
This is Sinza
Screenshot_20240206-192526.jpg
Screenshot_20240206-192558.jpg


Doesn't even come close to little-known places in Nairobi like Imara Daima below kn terms of highrises and general look
494950130.jpg
images - 2024-02-06T192955.433.jpeg
sddefault (1).jpg
images - 2024-02-06T192742.111.jpeg
images - 2024-02-06T192757.037.jpeg
images - 2024-02-06T192856.176.jpeg
 
Dar - Dom 450km expressway loading....

MZABUNI APATIKANA UJENZI WA BARABARA YA “EXPRESSWAY” KIBAHA-MLANDIZI-CHALINZE

John Bukuku
Last updated: 2024/02/06 at 3:32 PM

3 hours ago
Share

Na Sophia Kingimali

Serikali kupitia mradi wa ubia kati serikali na sekta binafsi(PPP) -TANROADS umepokea zabuni tatu kutoka sekta binafsi kwa lengo la kuzishindanisha na kupata mzabuni mmoja kwa ajili ya ujenzi wa barabara za haraka(Expressway) kutoka Kibaha,Mlandizi hadi Chalinze yenye urefu kilometa 78.9.

Akizungumza leo februari 6,2024 jijini Dar es salaam wakati akifungua zabuni hizo mkurugenzi mtendaji wa kituo cha ubia (PPP)David Kafulila amesema ujenzi wa barabara hizo utasaidia kuongeza kasi ya maendeleo kwani watu watatumia muda mfupi kufika kwenye maeneo yao ya uzalishaji.

“Kujengwa kwa barabara hizi hapa nchini zitachochea kasi kubwa ya maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla kwani utachukua muda mfupi njiani na muda mrefu utatumika katika kufanya kazi hii ni hatua kubwa sana kwa serikali katika kuendelea kuchochea maendeleo kwa nchi”amesema Kafulila.

- Advertisement -
Ad image
Amesema ujenzi wa barabara hizo kwa mfumo wa ubia hauondoi mpango wa serikali kuendelea kuhudumia barabara zake lakini utasaidia fedha za serikali ambazo zingejenga barabara hizo zitatumika katika shughuli nyingine za kijamii.

Akizungumzia ujenzi wa barabara hizo kwa ubia amesema ujenzi huo unatarajiwa kuanzia kibaha mpaka Dodoma ambapo awamu ya kwanza utaanzia Kibaha,Mlandizi Chalinze na Morogoro ambayo inaurefu wa kilomita 205.

“Mradi huu wa PPP utakuwa kwa awamu mbili ambapo sehemu ya kwanza itakua kibaha,Mlandizi na Chalinze kilomita 78.9 na sehemu ya pili itakua Chalinze mpaka Morogoro kwa urefu wa kilomita 126.1 na upembuzi yakinifu sehemu ya kwanza umefanywa na kukamilika Februari 2023 huku upenbuzi yakinifu kwa ajili ya kipande cha pili unaendelea”Amesema Kafulila.

Aidha Kafulila ameongeza kuwa barabara hizo zitasimamiwa na mbia na zitakuwa za kulipia na hailazimishwi kwa mtumiaji kutumia njia hizo kwani njia zote yaani barabara zinazohudumiwa na serikali na hizo za haraka zitakuwa zinafanyakazi hivyo ni hiyari ya mtu kutumia.

“Hizi barabara zinasimamiwa na mbia na hazitakuwa bure lakini zinarahisisha kwani ukinyoosha umenyoosha ni moja kwa moja mpaka unapoenda hapo hakuna hata kizuizi cha kukuzuia ili usimame hivyo mtu atachangua mwenyewe njia gani inamfaa kutumia maana zote zitakuwa zinafanyakazi kwa pamoja”Amesema.

Kwa upande wake meneja miradi ya ubia kati ya serikali na sekta binafsi Mhandisi Kitainda Michael amesema wabia hao wamepatikana kwa mchakato wa wazi ambao serikali uliuweka ambapo kampuni tisa ziliomba tenda hiyo.

Amesema kamati ya kupitia nyaraka hizo(evaluation Committee)ilifanyakazi yake na kupitisha kampuni tano kati ya tisa waliowakilisha nyaraka za awali na kati ya kampuni hizo tano zilizorudisha nyaraka ni kampuni tatu ambazo ndizo zinashindanishwa ili kupatikana kampuni moja kwa ajili ya kukabidhiwa mradi huo.

“Leo tunafanya ufunguzi wa hizi zabuni baada ya ufunguzi tutaendelea na taratibu za uchambuzi na mwisho tunatarajia kumpata mwekezaji mzuri atakaepewa jukumu la kutekeleza mradi huu wa sehemu ya kwanza Kibaha hadi Chalinze(kilomita 78.9) Amesema Mhandisi Michael.

Muda wa ujenzi wa mradi huo unakadiliwa kuwa miaka mitatu huku muwekezaji ataendesha mradi huo kwa miaka 30 ambapo akikamilisha muda huo mradi utarudi kwa Serikali ya Tanzania na matarajio ni ujenzi wa njia za haraka kutoka kibaha hadi Dodoma ambapo mradi huo utatekelezwa kwa awamu.
 
Endelea Baada ya kijito nyama kuna Morocco hujaiweka, kuna Mwenge hujaiweka. Vipi kuhusu Sinza? Oyster Bay vipi? Umewahi kusikia kitu kinaitwa Masaki? Oh Bado hujaongelea Mikocheni mwanangu. Kwanini unajibana sana. Jaribu kuzungukia Maeneo ya Mbezi beach pia utakuja kunishukuru.
Halafu Kuna Morocco, eneo la ghorofa Moja on an empty junction on other sides.
images - 2024-02-06T193818.228.jpeg
images - 2024-02-06T193926.475.jpeg

Sidhani kama Kuna high-rises zingine Morocco kando na hizo juu

Hii Morocco sijui nitaipambanisha na nini Nairobi but I chose Riverside Drive
images - 2024-02-06T194758.742.jpeg
221b8f0f-dbfb-4db3-bd95-e4e19946ee1c.jpeg
images - 2024-02-06T194119.024.jpeg
images - 2024-02-06T194042.282.jpeg
 
I beg you to not comment on things you don’t understand…. This University of Iowa in Iowa city… I have passed through there in the past… this a temporary arena usually constructed for special basketball events that require more seats than the usual arena can handle… the NCAA Final 4 basketball tournament is usually held in similar atmosphere, inside a regular stadium since over 60,000 spectators show up….. The Iowa University normal basketball and indoor arena is the Carver Hawkeye arena… View attachment 2896248

Wapi kati ya hizi unaongelea wewe? 😂😂😂 Unajua maana ya Arena kwanza?
images (16).jpeg
images (14).jpeg
images (13).jpeg
 
Back
Top Bottom