Mabenchi mazuri kabisa kuliko hata hizo viti za plastiki zenye mnakaliaKwanini unaficha benches? 😂 😂 😂
Mabenchi mazuri kabisa kuliko hata hizo viti za plastiki zenye mnakaliaKwanini unaficha benches? 😂 😂 😂
Ishafika hatua hii kwamba mombasa ikipata mzigo inakuwa story ya nchi, kweli adabu mnayo sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mzigo imeingia hapo Mombasa port hatari sana.....
Mohammed V in Morocco with a Football Stadium, Aquatic Stadium and an Indoor Arena. 👇 👇Nionesha indoor arena au aquatic stadium hapo.
Huo ndio muhammad v morrocco.
Hasira za nn sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Actually ni 5 million
Dunia simama niteremke plz😅😅😅
View: https://twitter.com/CapitalFMKenya/status/1754473212195512825?t=S7VSEILYIZcw975-VxnSqA&s=19
We huoni majengo yapo separate hayo??Mohammed V in Morocco with a Football Stadium, Aquatic Stadium and an Indoor Arena. 👇 👇
![]()
What a nice upper cut 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sport Complex ikona Aquatic Stadium, Football Stadium na Indoor Arena within the same location. Mkapa haina Aquatic Stadium, Indoor Arena nayo ni a small exhibition hall hall with temporary terrace stacked with benches. 😂 😂 😂 😂 😂We huoni majengo yapo separate hayo??
Asa ukisema hivyo hata BENJAMIN MKAPA INA INDOOR ARENA UPANDE WA NYUMA NA UHURU STADIUM.
Ulitaka majengo yashikane. 😂😂😂😂We huoni majengo yapo separate hayo??
Asa ukisema hivyo hata BENJAMIN MKAPA INA INDOOR ARENA UPANDE WA NYUMA NA UHURU STADIUM.
Fala kweli wewe, leo hii umefikia level ya kumfundisha mzungu aliyekuletea hiyo michezo nyani wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣That's not lack of exposure or anything bongolala. That's absurd. Ama wewe unafikiri kila kinachofanyika uzunguni ni kizuri?
Dunia simama niteremke plz😅😅😅
View: https://twitter.com/CapitalFMKenya/status/1754473212195512825?t=S7VSEILYIZcw975-VxnSqA&s=19
Sisi tulianza kuwa na akili kabla yenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I am sure that's a university stadium in the US. 😂 😂 😂 So what kind of exposure do you want us to get? Bongolala has no sports complex, stop forcing issues.
Sports complex ni sehem inayohusisha michezo mbali mbali zaidi ya mmoja.Sport Complex ikona Aquatic Stadium, Football Stadium na Indoor Arena within the same location. Mkapa haina Aquatic Stadium, Indoor Arena nayo ni a small exhibition hall hall with temporary terrace stacked with benches. 😂 😂 😂 😂 😂
Nini maana ya sports complex??I am sure that's a university stadium in the US. 😂 😂 😂 So what kind of exposure do you want us to get? Bongolala has no sports complex, stop forcing issues.
Ushafeli majengo yako plot mbili tofauti.Ulitaka majengo yashikane. 😂😂😂😂
For you to host All African Games au Olympics lazima kue na Aquatic Stadium na Bongolala hakuna. 😂 😂 😂Sports complex ni sehem inayohusisha michezo mbali mbali zaidi ya mmoja.
Sio lazima kuwe na aquatic stadium ndio kuitwe sports complex.
Ushafeli jombaa.
Where did my boy Mandonga mtu kazi go to...i was a big fan.
View: https://youtu.be/6pf4OCH9-mU?si=pT1n3npPAro3ssa4
Ushafeli.For you to host All African Games au Olympics lazima kue na Aquatic Stadium na Bongolala hakuna. 😂 😂 😂