Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Kumbe hata Arusha Kuna uswazi?
Kumbe hata Arusha Kuna uswazi?
Zote hizo ni national level stadiums, washamba ninyi msio na exposureI am sure that's a university stadium in the US. 😂 😂 😂 So what kind of exposure do you want us to get? Bongolala has no sports complex, stop forcing issues.
Endelea Baada ya kijito nyama kuna Morocco hujaiweka, kuna Mwenge hujaiweka. Vipi kuhusu Sinza? Oyster Bay vipi? Umewahi kusikia kitu kinaitwa Masaki? Oh Bado hujaongelea Mikocheni mwanangu. Kwanini unajibana sana. Jaribu kuzungukia Maeneo ya Mbezi beach pia utakuja kunishukuru.Highrises hupatikana tu sehemu tatu Dar nzima;
Posta
Kariakoo
Upanga
Halafu Kuna zile ghorofa tano za Kijitonyama zilizojengwa kando ya barabara moja😆😆
Mzungu aliekuletea wewe soccer na basketball unamfundisha ipi sehemu sahihi ya kucheza wewe zwazwa kweliThat's not lack of exposure or anything bongolala. That's absurd. Ama wewe unafikiri kila kinachofanyika uzunguni ni kizuri?
😂 😂 😂 mashibiki wanakalia bench ndani ya exhibition hall.
That's a university stadium haiwezi kua national level.Zote hizo ni national level stadiums, washamba ninyi msio na exposure
Naona umeanza kuhaha sasa. 🤣 🤣 🤣 Macho yako yana makengeza. Vipi kuhusu KDF umegwaya?😂 😂 😂 mashibiki wanakalia bench ndani ya exhibition hall.
Ushaanza kupagawa.Nani alikudanganya? 😂 😂 😂 👇👇
![]()
Congo mumefanya nini mpaka sasa ninyi wanaume?Ogopa hii badge
Ranger special ops- strike force
View attachment 2895718
View attachment 2895719
View attachment 2895720
View attachment 2895721
Ulisema Mohammed V haina indoor Arena, ndio hio nilikuwekea uone. 😂😂 Mohammed V ikona Football Stadium, Indoor Arena na Aquatic Stadium.Ushaanza kupagawa.
Sio wewe ulierusha pic za Amaan stadium ikiwa inajengwa??
Race to Central Africa is now on top gear. nairobae et al. please wake me up when the Uswazi SGR reaches Burundi 😂😂😂😂😂😂
View: https://x.com/kipmurkomen/status/1754559761121472530?s=20
Hiyo sio Muhammed v ww ulileta picha za Amaan stadium.Ulisema Mohammed V haina indoor Arena, ndio hio nilikuwekea uone. 😂😂 Mohammed V ikona Football Stadium, Indoor Arena na Aquatic Stadium.
Kwanini unaficha benches? 😂 😂 😂
Nionesha indoor arena au aquatic stadium hapo.Ulisema Mohammed V haina indoor Arena, ndio hio nilikuwekea uone. 😂😂 Mohammed V ikona Football Stadium, Indoor Arena na Aquatic Stadium.