We unajua umbali kutoka Posta mpaka kariakoo?Kariokor, gerezani, posta CBD, Kisutu, muhimbili, zote ndani 😂 😂 😂 👇 👇 View attachment 2895198
Eastleigh + Airbase👇👇
View attachment 2895201
Posta yenyewe ni kubwa kabla hata hujaigusa kariakoo.
Halafu Gerezani ipo ndani ya kariakoo kama karume ilivyo ndani ya kariakoo,usizitenganishe.