Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nicxie we huoni kama hii ni slum? Hayo majengo yanatakiwa kuvunjwa yote, kwanza ni hatari kwa usalama wa raia pili yana muonekano mbaya, ni kama nyumba za enzi ya mfalme herode.
Anzeni kwa kuvunja hizi zilizobaka jiji lenu koo. Naona ziko na muonekano nzuri sana
images - 2024-02-05T210932.106.jpeg
 
So today Kibera doesn't have 2.5 Million people?

Desperation ni kitu mbaya sana!
Hiyo hiyo iliyowekwa hapo inatosha, bado haibadilishi ukweli kwamba mna ma slums makubwa makubwa duniani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We kweli fala.
Tunazungumzia football stadium.
MOHAMMED WATANO wa Morroco hauna hivyo vitu ulotaja ila ni miongoni mwa viwanja bora vya mpira.
NOU CAMP Barcelona hauna indoor stadium wala aquatic stadium na ni miongoni mwa viwanja bora vya mpira.
Kiwanja bora cha mpira huangaliwa majukwaa,sehem za kubadilishia nguo,pitch ya kuchezea mpira,sehem ya matangazo na bench la ufundi.
Je kenya uwanja wenu uko bora katika hizo sehemu?
Nilikuambia Tanzania haina any sport complex, ukipata hata moja nitag.
 
Nawakumbusha tu slums za Nairobi 😎
1.kibera
2.mathare 4a,mradi, etc
3.korogocho
4.gonga njaa
5.kisumu ndogo
6.kasabuni
7.glue cola
8.ngomongo
9.paradise
10.kariobangi
11. Kawangware
12mukuru kwa ruben
13.mukuru kwa njenga
14.kiamaiko huruma.
15.majengo
16.biafra
17.kangemi
18.satelite
19.dandora
20 mji wa huruma
 
A proper sport complex with an indoor arena and an aquatic stadium. Does Tangagiza have any sport complex with an indoor arena and an aquatic stadium? Ukipata nitafunga hii account.
Alaf imeparara utasema imepigwa bomu alaf munakuja kuita modern au sio 🤣🤣🤣

Ngoma bila make up mzee👇👇👇
Screenshots_2024-02-05-17-24-27.png
 
Angalia vizuri utaona tofauti kubwa sana mapaa ya Nigeria yapo dull ni paa la square linainuliwa moja kwa moja linaenda kutengeneza kama triangle fulani tofauti na mapaa ya Tanzania yanaleta image flani ya multiple roofs on one house

Tanzania View attachment 2894939

Nigeria
View attachment 2894938
Hii design inabidi tui-trademark.

Haya mapaa yanatengeneza a large surface area relative to volume kwasababu ya hiyo mikunjo kunjo. Hii inarahisisha joto kupotea haraka na hivyo kufanya nyumba kuwa na kaubaridi.

Wanyama kama tembo huwa wanahii adaptation, ngozi yao huwa na mikujo kunjo na masikio makubwa ili kutengeneza large surface area relative to their body ili kupoza miili yao mikubwa.

Hata sisi wanaume mapumbu yetu yanamikunjo kunjo ili kusaidia kupoteza joto haraka.
 
Nawakumbusha tu slums za Nairobi 😎
1.kibera
2.mathare 4a,mradi, etc
3.korogocho
4.gonga njaa
5.kisumu ndogo
6.kasabuni
7.glue cola
8.ngomongo
9.paradise
10.kariobangi
11. Kawangware
12mukuru kwa ruben
13.mukuru kwa njenga
14.kiamaiko huruma.
15.majengo
16.biafra
17.kangemi
18.satelite
19.dandora
20 mji wa huruma
Naongezea plz 🤣🤣🤣

21. Makuru kayaba
22. Mathare
23. Umoja
24. Huruma
25. Laini saba
26. Soweto
27. Kware
28. Majengo
29. Matopeni
30. Kiambiu

Etc
 
Kwenye mambo ya Military wakenya wamekimbia


The Russian BM-27 Uragan MLRS Operators​

1707160148950.png

Afghanistan – 18

Belarus – 84

Guinea – 3

Iran – Unknown

Kazakhstan – 180

Moldova – 11

Myanmar -35

North Korea – Unknown

Russia – 500-800

Tajikistan – 12

Tanzania – 108

Turkmenistan – 54

Ukraine – 139

Uzbekistan – 49

Yemen – 13
 
Back
Top Bottom