Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hile ya serikali yenu kuomba helicopter from Kenya ilikuwa biashara?😂😂🤣🤣
Haikuwa serikali bali wanasiasa.
Usitudanganye
Hivi helicopter mnaombwa bure nyie??
 
Hata hile ya serikali yenu kuomba helicopter from Kenya ilikuwa biashara?😂😂🤣🤣
Hii new from Mama Ngina.
1706994580665.png
 
Sa unataka kulia ju hamna any C27 J Spartan in service. 😂 😂 😂 Una machungu hadi unadai risiti. Pole usilie. Vita ilkitokea sahii mutatumia air tanzania. 😂😂😂
Sawa kijana, umefurahi eeh?
 
Linchi lizima la KENYA hakuna chochote cha kulifanya proud kwa nchi zima, kimataifa.

Mijitu inaishia kujimilikisha vya nchi nyingine, kuanzia natural resources, wildlife, mountain, mpaka famous people.

Ukitaka nielewa nenda TikTok, hopeless kabisa.
 
Umeelewa nilichozungumza??
Khalifa Haftar hupigana vita za mitaa .
Asa unataka vita za mitaa watu watumie vifaa vizito??
Huyo ambaye anapigana vita vya mtaa ndio serikali ya Egypt ilituma wanajeshi wake waende kumsaidia. Hadi Land Cruiser za Egypt Army heading for Libya umeziona hapo lakini bado ujifanya pumbavu.
 
Sa unataka kulia ju hamna any C27 J Spartan in service. 😂 😂 😂 Una machungu hadi unadai risiti. Pole usilie. Vita ilkitokea sahii mutatumia air tanzania. 😂😂😂
Kwani lazima tuwe na hiyo mambo. Mbona tupo na transporters nyingi tu mzee. Tatizo lako wewe ni mshamba 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇

1706994733520.png
 
Isivyo na Aibu hadi Miso missondo inataka kujimilikisha. Sasa nchi gani hiyo?
 
Sa unataka kulia ju hamna any C27 J Spartan in service. 😂 😂 😂 Una machungu hadi unadai risiti. Pole usilie. Vita ilkitokea sahii mutatumia air tanzania. 😂😂😂
Siku mkifanya nyoo JW wanamalizia Kooo
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-00-13-53-08_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-00-13-53-08_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    59.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_2024-02-04-00-13-33-34_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-00-13-33-34_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    44.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_2024-02-04-00-14-19-06_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-00-14-19-06_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    64.1 KB · Views: 8
Sa unataka kulia ju hamna any C27 J Spartan in service. 😂 😂 😂 Una machungu hadi unadai risiti. Pole usilie. Vita ilkitokea sahii mutatumia air tanzania. 😂😂😂
Ndio maana m23 analia kwasababu hii.
Yani siku mkisema nyoo tunamalizia koo.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-00-22-17-48_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-00-22-17-48_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    61.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_2024-02-04-00-21-46-38_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-00-21-46-38_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    49.5 KB · Views: 7
Back
Top Bottom