Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo hiyo heli ni mkopo tumechukua kutoka Kenya.? 😂😂😂😂
It's very sad that your government is borrowing helicopters from Kenya 🤣🤣🤣🤣

1706993234257.png
 
We hua pumbavu sana, kama hujui nchi za kiarabu wanapenda sana kutumia hizo land cruisers vitani. 👇 👇 This was during Egypt's intervention in Libya.

Averting an Egyptian Military Intervention in Libya | Crisis Group


Asa kumbe we ni fala?
Huyo Khalifah Haftar si mtu wa street battle??
Kumbe hujui vita za waarabu??
Khalifah haftar kundi lake ni kama la Hamas tu we kijana.
Unategemea wapeleke vifaa vizito?
Umeskia hao IDF?
 
Hiyo mzee ni Civilian ya kubebea abiria mzee 🤣 🤣 🤣 Naona unaweza kuleta KQ hapa. Tuletee Military weapons hapa
So serikali yenu ilitafuta civilian helicopter Tanzania yote ikakosa wakaamua kukuja kuomba za Kenya😂😂🤣
 
KDF Anti Drone Surveillance System 👇 👇

MC-Horizon 360D anti-drone system protecting Kenya's military base –  Military Africa


Jeshi ya tangagiza bado iko nyuma, sidhani hata wanajua kutumia military drones leave alone having an anti drone surveillance system.
 
Mnachapwa na Malawi kila siku Sasa Kenya ndio mtawezana nayo. Our police officers once crossed into Tanzania border ikawacharaza viboko kweli kweli and your government did nothing.
Unaleta uongo gani huu?
Lini Malawi alimpiga Tanzania??
Lini polisi wa Kenya uvuke Tz halafu uachwe??
Au umelewa brothee!!
 
So serikali yenu ilitafuta civilian helicopter Tanzania yote ikakosa wakaamua kukuja kuomba za Kenya😂😂🤣
Umeishiwa Military weapons? Halafu hiyo wala siyo serikali ni Chama cha siasa kama vile Diamond mlivyomkaribisha kwenye campaign. 🤣 🤣 🤣
Leta Weapons hapa tuzichambue
 
TPDF nawaombea wawe wameupdate kwenye drone technology, wote tunajua M23 ni RDF,

South Africa ni muda sasa wafanye kazi yao ya Air defense, maana kazi yetu tunaifanya kikamilfu hadi wamelia.
 
Back
Top Bottom