Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu jews og hawanaga shida,ila hawa wayahudi wa sasa ndio shida
 
Ukiweka mambo mengi ya formulae kwenye Uongozi utashindwa asubuhi na mapema sana.

Uongozi inahitaji critical thinking na analysis na uwe na emotional intelligence.
 
Ukiweka mambo mengi ya formulae kwenye Uongozi utashindwa asubuhi na mapema sana.

Uongozi inahitaji critical thinking na analysis na uwe na emotional intelligence.
Dunia tunayoishi inaongozwa na kanuni, ndizo zinafanya ukinywa maji yanateremke kwenye esophagus yako na kuingia tumboni. Kanuni ndizo zinakufanya uweze kupumua, huwezi kuzikimbia maisha yako yote.

Hayo mambo ya emotional intelligence, critical thinking ndiyo strengths za watu wa STEM (Science, Technology, engineering and mathematics). FYI , matajiri wakubwa watano wote ni STEM, wakiongozwa na Elon (alisoma physics).
 
Endelea kuwa mbishi.Hizo kanuni ziweke kwenye sekta za uzalishaji Dio mambo ya leadership.

Ndio maana hakuna Wabobezi wanakuwa viongozi na Wakiwa viongozi wanafanya tofauti kabisaa na taaluma zao Kwa sababu tasnia hiyo haihitaji formulae
 
Endelea kuwa mbishi.Hizo kanuni ziweke kwenye sekta za uzalishaji Dio mambo ya leadership.

Ndio maana hakuna Wabobezi wanakuwa viongozi na Wakiwa viongozi wanafanya tofauti kabisaa na taaluma zao Kwa sababu tasnia hiyo haihitaji formulae
Unaongea nini wewe wakati data zinapingana na we? Yaani una prove ninachokisema, hutumii logic kufikiri. Hawa ndiyo matajiri wakubwa duniani kwa sasa, unaweza kuona pattern?

1 Elon Musk (Physics)
2 Jeff Bezos (Physics, Engineering, Computer science)
3 Bernard Arnault (Engineering)
4 Bill Gates (Programming)
5 Warren Buffett (Economics)
6 Larry Page (Computer science)
7 Sergey Brin (computer science)
8 Larry Ellison (Physics, Mathematics, programming)
 
Ile gari yako uliopost ulinunua mpya? Kenya kuna magari mabovu Tz hayawezi kuruhusiwa kutembea.
Mine was not 20yrs old when I purchased it. Nyinyi kila mtu gari yake ni kazee, hata baiskeli pia mnanunua kazeeπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Whatever you are doing now Kenya did them long time ago. As you start on cage fishing this year, just know that Kenya has been doing it for the past 20yrs now.
 
Wewe hata baiskeli hunaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mimi niko na gari and I know inakuuma cause you thought I'm in the same league as you. I keep on disappointing you.

You started ati sikusoma, when I posted my University Certificate ulisema sio zangu.

I then posted my KCSE certificates where I scored A in almost everything, hiyo pia ulisema sio yangu.

After kuona nimekushinda kwa masomo ukaanza kuniita jobless, I posted my job offer letter and that one also you said was not mine.

After realizing I do a better job than you, ulianza kusema ati nalipwa pesa kidogo, when I posted my salary here of six figures (more than 3M Tanzanian Shillings) ulisema nimeedit. πŸ˜‚

Anytime umeona screenshot ya simu yangu huwa unasema natumia Wifi ya jirani, I went ahead and posted the router. Hujaiongea kuhusu Wifi hadi wa leo juu hata hujui Wifi inawork aje.

Ukaanza kusema sijui simu yangu Iko ovyo, niliamua kupost my Apple Ipad here mkaanza kusema nina ushamba.πŸ˜‚

You even said napiga tu kelele yet I don't use Netflix, I disappointed all of your when I took a picture of my TV watching Netflix.

Ulisema sina gari, when I posted bado unasema sio yangu. You can't even buy one side mirror of that car πŸ˜‚

So what will be your next point Mr. Watchman? Again for your information I'm not a nurse. I can feed your entire village with my one month salary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…