Pia Alliance High School Na Alliance Girls High School mliamua kucopy. Wueh.
Kwa hiyo nyie ndio wa kwanza duniani kuwa na Alliance High School. Mbona unazidi kuwa mshamba hivyo?πPia Alliance High School Na Alliance Girls High School mliamua kucopy. Wueh.
Wabongo mumezoea kudanganywa na serikali ya CCM, ila nafurahia kuona kuna wenzenu ambao wako open minded. π π ππ
View: https://x.com/RuitaBilly/status/1696940384897654992?s=20
Wacha hasira, nimekuuliza swali rahisi, Mwanza kuna PET/CT au lazima wasifiri hadi Dar?
Slum huonwa na satellite?Uswazi na sio slum π€£π€£π€£ mzungu kaweka sattelite ya billions of money hajawah ona slum mpaka dunia itasmama
Hii picha ya juu.Slum huonwa na satellite?
No.12Kitui County PET/CT machineππ, vipi fala, Arusha kuna PET/CT au bado wanasifiri hadi Dar? π π π
Takataka
Mazense middle-class area
Bugando inatubu Hadi Cancer wagonjwa wanakuja kutoka KunyalandHadi hospitali ya kanisa huko Kitui County ikona PET/CT π π π π Bugando kuna PET/CT kweli?
Huyu yafaa tumchangie afike Nairobi. He will die with this wish na si vizuriI can't count the number of times he has said juzi nilikuwa Nairobi. You're right on that.π€£
Huyo anajua hata Brabus ni nini kweli. Aingie YouTube channel inaitwa Supercar Blondie. Huyo mwanadada anachambua magari vilivyo. Atapata elimu ya magari kidogo kama yeye sio wale wa kulemewa na kiingerezaYani umepost G-Wagon Tena Brabus Kuna zombie liko Na jina la planet limesema Ni mtoto wa Gari alafu akapost VXR Tena pre-2020 model eti ndio Gari. Jamaa hajui Brabus inaweza nunua hizo VXR Kumi. Nakwambia watu humu hawana exposure kabisa.π€£π€£π€£