The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Fala kweli wewe, sikiliza vzr iyo nyimbo kaongelea tabia za kikenya na maisha ya kenya kwa ujumla, kuna mahali anasema raia wa hiyo nchi ni waongo wabongo wakasome, pia amesema raia wa hiyo nchi wana njaa, je wabongo wana njaa?Nay anazungumzia Tanzania kwa undani, but In reality all Africa nations ziko Ivo, ni vile wakenya wamechoka na Ruto that's why lazma watafeel pia