babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,309
- 35,744
Unataka nini nyingine?Show me 3Tesla zote hizo ni 1.5. Ukipata 3.0 nitag.
2018 article.
Unataka nini nyingine?Show me 3Tesla zote hizo ni 1.5. Ukipata 3.0 nitag.
Leta Agenda nyingine unataka kitu gani mdogo wangu 🤣🤣🤣Show me 3Tesla zote hizo ni 1.5. Ukipata 3.0 nitag.
Ukipata 3Tesla nitag. 😂 😂 😂
😂😂😂😂 Uliomba tag Mzee. Haya sasa 👇Show me 3Tesla zote hizo ni 1.5. Ukipata 3.0 nitag.
Hospitali moja tu 😂 😂 😂 👇 👇 Hospitali ingine Kenya.
Umeendanae vizur sana ukamkata ukamfinya pumbu zake .. tusubiri picha za gtc sasa 😂😂😂Muda wa kuja kuanza kutuonesha GTC sasa. Karibuni vijana kutoka Kibera 🤣 🤣 🤣
Just like that, goal post changed! 😂😂😂
Huna hoja umeishiwa 😂😂 mwanzo Uliomba kuonyeshwa Tesla MRI machine ukapiga kelele kwamba hatuna,ukaonyeshwa..ukadai ooh si 3 Tesla ukaonyeshwa tena hiyo 3 Tesla sahiv umekuja kwenye idadi 😂😂😂😂
Wewe nenda kaoneshe GTC Center umeishiwa. 🤣 🤣 🤣
Dodoma capital city lol....a screaming Isiolo.Tz govt is trying to pump money in it lakini wapi
View: https://youtu.be/568ekKd0-Nk?si=pg_4-CgW7IvvwO0j
Hospitali moja tu nchi nzima 😂 😂 😂Just like that, goal post changed! 😂😂😂
Kabla tuendelee lazima ukubaliane na mimi kwanza.
Je MRI 3T zipo Tanzania?
Hakuna mwenye guts za kukujibu hiyo 😂😂😂😂hapo wataufyata mkia..Wewe nenda kaoneshe GTC Center umeishiwa. 🤣 🤣 🤣
Tunakugeukia tuoneshe Bus Stand moja tu ya Nairobi
Kwa hiyo MRI 3 ipo Tanzania?Hospitali moja tu nchi nzima 😂 😂 😂
Huna hoja mzee. Bora unge nyamaza tu. Leta hoja nyingine au weka hiiHospitali moja tu nchi nzima 😂 😂 😂
Umia pole pole baada ya kukupiga na list ya over 70 hospitals with CT Scan, pokea nyingine ya MRI
Moja tu bila aibu.😂😂😂Kwa hiyo MRI 3 ipo Tanzania?
Eti laptop yake, sasa akikuonesha hiyo laptop yake utazimia, laptop ina mipira 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asante mkuu, laptop yangu haiwezi fungua unsecured links.Serikali yenu imejaa madwanzi, hawawezi lipia https. 😂 😂 😂 😂 Sasa nionyeshe MRI iko wapi hapo? naona CT Scan tu.