The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kijiji cha Karen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kijiji cha Karen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeishiwa ndio maana unaruka ruka ovyo.Moja tu bila aibu.😂😂😂
Uchafu a.k.a apartments nzee, tangu nyerere, apartments za kizamani sana hizi, ukizoom unakuta zimekaa nzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eastlando
View attachment 2889871
Moja pekee nchi nzima. 😂 😂 😂 👇👇 Hii mutapata Yesu akirudi.Umeishiwa ndio maana unaruka ruka ovyo.
Hii ipo Dodoma? Sijawahi kuiona hii.Lingependeza zaidi kama wangezingatia hilo, JWTZ HQ wameweza japo kasi ya konokono
View attachment 2889888View attachment 2889889View attachment 2889890View attachment 2889891
Mzee vipi CT Scan za Counties umegoma kuweka? 🤣 🤣 🤣Moja pekee nchi nzima. 😂 😂 😂 👇👇 Hii mutapata Yesu akirudi.
![]()
Mimi naleta taarifa,kuhusu analysis waulize watu wa Wizara ya maliasilo na MakumbushoWill they declassify some sensitive issues kama: covert operations, kiasi cha fedha kilicho tumika na n.k.?
Hakuna County haina CT Scan, wacha kujiaibisha.Mzee vipi CT Scan za Counties umegoma kuweka? 🤣 🤣 🤣
Kitale County Referral Hospital Sijaona 🤣 🤣 🤣Hakuna County haina CT Scan, wacha kujiaibisha.
Kuna nchi nzima ya over 60 million people ina MRI machines 13 pekee. 😂😂😂👇👇👇 Wakifika hii level hatutapumua.
View attachment 2890002
😂😂😂😂Unajiongopea sana. Soma hizo 50 MRI machines kwenye mikoa mitano tu in Tz. Dar es salaam, Mwanza Arusha, Moshi and DODOMA. There are at least ten hospitals in each region mentioned above with MRI service 👇"MRI Scan cost in Tanzania- Find best Hospitals, Reviews and Success Rates - Africa Infoline" MRI Scan cost in Tanzania- Find best Hospitals, Reviews and Success Rates - Africa Infoline. 😂😂😂Umia pole pole baada ya kukupiga na list ya over 70 hospitals with CT Scan, pokea nyingine ya MRIView attachment 2890006
Asipoelewa na hapa basi huyu jamaa ni mchawi.😂😂😂😂Unajiongopea sana. Soma hizo 50 MRI machines kwenye mikoa mitano tu in Tz. Dar es salaam, Mwanza Arusha, Moshi and DODOMA. There are at least ten hospitals in each region mentioned above with MRI service 👇"MRI Scan cost in Tanzania- Find best Hospitals, Reviews and Success Rates - Africa Infoline" MRI Scan cost in Tanzania- Find best Hospitals, Reviews and Success Rates - Africa Infoline. 😂😂😂
Hakuna County haina CT Scan, wacha kujiaibisha.
Ukipata County haina CT Scan nitag nifunge account. 👇👇Kitale County Referral Hospital Sijaona 🤣 🤣 🤣
View attachment 2890042
Mzee kwanza:
October 2023 not that far long… and I posted the photos to show you the difference in combat uniforms between the KDF teams departing and those staying… the uniform above is still in DRC… now you know
Ha ha ha, nyang’au huyo hawezi kukuoyesha hata siku moja🙂…tuoneshe Bus Stand moja tu ya Nairobi
Imagine the whole country with 70 MRI machines vs 5 regions of Tanzania with 50 MRI machines 😂😂😂😂😂 Bro Tz iko na 31 regions. 31-5=26 .. let's assume kwenye hizo remained 26 regions hakuna MRI machine hata moja 😂😂😂 hii mada umeiingia kimkundumkundu wacha wauni tukuba***eUmia pole pole baada ya kukupiga na list ya over 70 hospitals with CT Scan, pokea nyingine ya MRIView attachment 2890006
Yani hata hio source yako bado inaonyesha Kenya ina hospitali kumi zaidi in 6 cities only. 👇 👇 😂 😂 😂 pole sana.😂😂😂😂Unajiongopea sana. Soma hizo 50 MRI machines kwenye mikoa mitano tu in Tz. Dar es salaam, Mwanza Arusha, Moshi and DODOMA. There are at least ten hospitals in each region mentioned above with MRI service 👇"MRI Scan cost in Tanzania- Find best Hospitals, Reviews and Success Rates - Africa Infoline" MRI Scan cost in Tanzania- Find best Hospitals, Reviews and Success Rates - Africa Infoline. 😂😂😂