0 Tesla MRI, 13 MRI machines na 45 CT scans pekee, na vile munapiga mdomo huku. 😂 😂 😂
Alicholeta na picha aloleta viwili tofauti.You don't have both of them kwenye hiyo dispensary yenu!
Mmenda mbali sana kwenye radiology machines, mngeanza kwanza kwenye websites, hiyo dispensary yao ina hata website? 🤣🤣Ndhani unatumia free internet hapo Uhuru Park. 🤣 🤣 🤣
View attachment 2889825
Unalazimisha vitu ambavyo havipo??!!0 Tesla MRI, 13 MRI machines na 45 CT scans pekee, na vile munapiga mdomo huku. 😂 😂 😂
Ziko wapi za Kunyaland? Nani kakwambia hizo sio Tesla?0 Tesla MRI, 13 MRI machines na 45 CT scans pekee, na vile munapiga mdomo huku. 😂 😂 😂
Mzee acha kupindisha mada. Weka hizo CT Scan hapo Kenya zipo ngapi? 🤣 🤣 🤣0 Tesla MRI, 13 MRI machines na 45 CT scans pekee, na vile munapiga mdomo huku. 😂 😂 😂
Karen bado haina lami na inapata water supply from water bowsers 😅😅😅
Mzee unadhani Tanzania ni Kenya 🤣🤣🤣0 Tesla MRI, 13 MRI machines na 45 CT scans pekee, na vile munapiga mdomo huku. 😂 😂 😂
Ziko wapi? Nimekuonyesha at a public hospital in Kenya 👇 👇 Nionyeshe moja tu kama vile nakuonyesha hivi.Unalazimisha vitu ambavyo havipo??!!
Pole sana hizo Tesla 3 mama ndizo alizoziongeza pale MOI.
Kama unabisha kaa na ubishi wako.
Ziko wapi za Kunyaland? Nani kakwambia hizo sio Tesla?
Kumbuka Wakunya wanakuja Kufuata matibabu Tzn
Kunya nzima hakuna utaalamu kama huu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C2gtoIsqJ4M/?igsh=ZWx2ODVyZ2FwZWJs
Mashine nyingi za Kunyaland ni private hospitals na sio Government
Makao makuu ya JWTZJengo gani hili mkuu?
Mzee County CT Scan umeshindwa kuweka. So tuachana na hii kitu umeshindwa leta agenda nyingine 🤣 🤣 🤣Ziko wapi? Nimekuonyesha nne at a public hospital in Kenya 👇 👇 Nionyeshe moja tu kama vile nakuonyesha hivi.
View attachment 2889925
Mdau hapo ameshakuonesha kwamba zote tulizonunia ni Tesla na ziko 13.Ziko wapi? Nimekuonyesha nne at a public hospital in Kenya 👇 👇 Nionyeshe moja tu kama vile nakuonyesha hivi.
View attachment 2889925
Ziko wapi za Kunyaland? Nani kakwambia hizo sio Tesla?
Kumbuka Wakunya wanakuja Kufuata matibabu Tzn
Kunya nzima hakuna utaalamu kama huu 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C2gtoIsqJ4M/?igsh=ZWx2ODVyZ2FwZWJs
Mashine nyingi za Kunyaland ni private hospitals na sio Government
Mdau hapo ameshakuonesha kwamba zote tulizonunia ni Tesla na ziko 13.
Leta hapa namba ya MRI na CT Scans huko Kunyaland mbona unazunguka zunguka kama mbuzi wa heat? 😁😁
Anyway Sekta ya Ubobezi ndio nyumbani Kwa Tzn👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C0OuScdNJ7h/?igsh=ZXR5MmtxN2twcmZj
Nilikuwekea list hadi nursing homes zina CT Scan, rudi uipitie.Mzee County CT Scan umeshindwa kuweka. So tuachana na hii kitu umeshindwa leta agenda nyingine 🤣 🤣 🤣
Wewe mbuzi ,hujui kusoma au?👇👇Unadhani MRI Machines zote ni za Tesla.😂😂😂 Show me one like this👇👇👇 Na uniambie kama ni 1.5 au 3
View attachment 2889939
Unadhani MRI Machines zote ni za Tesla.😂😂😂 Show me one like this👇👇👇 Na uniambie kama ni 1.5 au 3
View attachment 2889939
Mzee hii battlle imekushinda. Unaanza kuikimbia tu. Tulikuwa tunaongelea CT Scans za Counties naona umepotea ghafla👇👇👇 Tesla ipi 1.5 or 3
View attachment 2889930