Halafu wakenya nishawajua.Kuna wapuuzi wanafananisha Dodoma na Tatu city hebu walete SGR Train station yao na wakimaliza walete ring road yao na airport yao U/C!
Nakushauri.
If you are good enough in IT, there is a lot of Systems in the internet which you can use to design any map you want.
1. With our poverty we are able to afford 3 meals a dayπ unlike you πoh your desperate red herring consolation tactics......how will posting this help the 50 million tanganyikans who live in abject poverty with ukiswahili mentality...lol
hatupendi ukiswahili houses na uvivu...ongezea hapoHalafu wakenya nishawajua.
Wao huchukulia mji mzuri lazima uwe na maghorofa marefu sanaaaa na ma flyover mengiiiiii.
Kumbe mji mzuri ni ule uliojengwa kwa mpangilio na ukawa una miundombinu kwa uhitaji maalum.
Akaitizame ASMARA mji mkuu wa Eritrea.
Una majengo ya chini na maghorofa ya kawaida ila nasema ni mzuri hata Dar hauingii.Kwasababu wameupangilia na wameweka miundombinu stahiki.
Nairobi imejaza mi flyover kibao still ni mji unaoongoza kwa traffic jam.
3 meals za muhogo...lol1. With our poverty we are able to afford 3 meals a dayπ unlike you π
2. We live in a secure and safe environment unlike youπ
3. We feed you guysπ
Etc etc
π€£π€£π€£π€£π€£π€£.hatupendi ukiswahili houses na uvivu...ongezea hapo
ningemjua alie karibu yako ningemwambia akumwagie maji ya baridi uamke toka usingiziniπ3 meals za muhogo...lol
Tunachapa kazi ,Wakunya wao wanachapa kingereza ππ
Yani hawa kama Ethiopia tu.1. With our poverty we are able to afford 3 meals a dayπ unlike you π
2. We live in a secure and safe environment unlike youπ
3. We feed you guysπ
Etc etc
enyewe mnaishi vizuri.....vizuli...lol...Long live CCM
View attachment 2888834
Hawa siwashangai wanaiba mpaka makabila hawa.Wanasema ni ya kwao π€£π€£π€£π€£
Dodoma ni mji fulani hivi sawa majengo sio marefu kihivyo ila umepangika na miundombinu inajengwa kimikakati na uhitaji.
Pia wanaongoza kwa slums Africa.π...Nairobi imejaza mi flyover kibao still ni mji unaoongoza kwa traffic jam.