ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Haya jipigie makofi 😅😅😅Hey refugee, That's not a mall.😂😂🤣🤣
Haya jipigie makofi 😅😅😅Hey refugee, That's not a mall.😂😂🤣🤣
Kwa lugha fupi Nairobi is wealthier than Dar is Slum three times🤣🤣🤣😂.So unakua hauko nairobi uko kiambu so kwa lugha fupi tuseme nairobi ni ndogo sana inaingia mara tatu kwa dar is that fine🤣🤣🤣
hii ni stand ya vifod ama bus kubwa kuweni serious wazee mmeona ile ya mwenge ile ni ya daladala ama huko kwenu mnaita shuttleEndelea kuzubaa
Upcoming Kisumu bus stand.
View attachment 2886181View attachment 2886182View attachment 2886183View attachment 2886184
Makofi, makofi, makofi. Tupigie mkimbizi makofi🤣🤣😂😂Haya jipigie makofi 😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣That should tell you that Kenya is developed everywhere. Tell me anywhere in Tanzania outside Dar is Slum that can compete with Kajiado County(Kitengela)
Wealthier alaf watu wanalala kwenye mabanda ambayo hata nguruwe hawez lala🤣🤣Kwa lugha fupi Nairobi is wealthier than Dar is Slum three times🤣🤣🤣😂
mbona mnachezewa kodi zenu hivyo.Kusoma pia hujui? I have clearly written Kisumu lakini wewe bado unaota Nairobi 😂😂🤣.
Nyeri bus stand.
View attachment 2886191View attachment 2886192View attachment 2886193View attachment 2886194
Kwani zitakuwa zinafanya kazi tofauti? Mlikuwa mnakesha hapa mkiulizia bus stand za Kenya and there they are. Ama mlikuwa mnadhani haziko?🤣🤣😂hii ni stand ya vifod ama bus kubwa kuweni serious wazee mmeona ile ya mwenge ile ni ya daladala ama huko kwenu mnaita shuttle
Hamna m TZ mshamba,ndio maana tunawaburuza huko kunyan,diamond aliingia naipori kwa chopa akafanya show nusu saa odinga pesa aliyomlipa hakuna ataweza kumlipa mkunya hata amfanyie show kama ile mwaka mzima,but mjanja toka bongoland kajipigia ile pesa within half an hourKuna washamba hii Dunia kuliko watanzania?😂😂
View: https://youtu.be/23-6XI--E6s?si=TgRXkYDWRrpwzVVj unajitia aibu na akili zako za kuosha vidonda,hii terminal iko kibaha porini huko na tunaona kawaida eti unakuja hapa kwa kujidai kabisa kwa hiyo takataka ya huko kwenu kipoison
Unaongelea Mbagala ama?🤣🤣😂🤣Wealthier alaf watu wanalala kwenye mabanda ambayo hata nguruwe hawez lala🤣🤣
Yes Nairobi imezungukwa na urban towns on a 50 km radius. Dar imezungukwa na vijiji na mashamba za mihogo.Kajiado county once again 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani ushatoka nairobi ushaingia kajiadoo
Mshamba yule,atuelezi chochote fala tukwanza aplay video aione full ilivyo
Weka picha za stendi za Nairobi wewe nyang’au mbona husikii?Ona huyu, anataka kulia🤣🤣
Nyang'au uwa wanaiongelea TZ pasipo kuijua,wanaiongelea kimihemuko shwaini waleNyang’au hata aibu haoni.
Maybe ndoto ya watanzania. Starting with your President who thinks Nairobi is London 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Developed in what?? Ikiwa ndoto ya kila mkenya ni kuishi nairobi
Westlands is on steroids. This tower will get completed before Mzizima Tower that started in 2013😂.
With completion of this twin tower, Westlands will now have 8 buildings of 30 floors above. That will be more than total number of buildings with 30 floors in Tanzania as a whole.
Yes Nairobi imezungukwa na urban towns on a 50 km radius. Dar imezungukwa na vijiji na mashamba za mihogo.
Kwa mfano, hii hapa ni kijiji cha kibaha. 👇 👇
View: https://www.youtube.com/watch?v=NdsOiQmfH_I
President gani ambaye alifkiri hvo nitajie jina lake na ulete ushahidi kamili ili nifunge acc sasa hvi 😅😅😅😅😅😅Maybe ndoto ya watanzania. Starting with your President who thinks Nairobi is London 😂😂😂