Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mm nimekwambia ukileta ushahidi imekua assembled in kenya mm nafunga acc sasa hvi

Simple and clear 😅😅😅😅😅😅😅
The bus was assembled in Kenya. Anyway you are allowed to cry incase umetumia sana.
 
But Golden dragon are assembled in Kenya. Ama unataka nikuonyeshe?
Nimekuuliza swali rahisi nioneshe ushahidi kua ile bus ilikua assembled in kenya ??

Na zile zilikua bus 10 za congo ilikua order maalumu lakini hakuna assembly plant ya golden dragon in kenya na haitatokea mpaka dunia itasmama 😅😅😅😅
 
Ebu nionyeshe hiyo basi ikishushwa Mombasa Port. Umeinsist imenunuliwa China, tuonyeshe ikishushwa.
 
I can see how AVA has got a good market in Tanzania. All those Land cruisers were bought from Kenya.
Good market gani ?? 🤣🤣🤣🤣🤣

Ww hujui kwann china wanaweka assembly plant yao ya howo na other chinnese trucks like faw tayar zishakua assembled nyingi in tanzania??

Na kwenye bus wataanza soon ku assemble in tanzania
 
Ebu nionyeshe hiyo basi ikishushwa Mombasa Port. Umeinsist imenunuliwa China, tuonyeshe ikishushwa.
Screenshots_2024-01-27-14-03-20.png
 
Good market gani ?? 🤣🤣🤣🤣🤣

Ww hujui kwann china wanaweka assembly plant yao ya howo na other chinnese trucks like faw tayar zishakua assembled nyingi in tanzania??

Na kwenye bus wataanza soon ku assemble in tanzania
So hizo Toyota land cruisers ni za howo?😂😂😂
 
Everything you have mentioned are in Konza and they are properly laid out than anywhere else in East Africa. For your information Konza is the only city with an underground electric supply cables, underground and enclosed sewage, underground and enclosed water system.
Even in Dodoma government city umeme, data ziko underground na pia green lanes zipo za kutosha.
 
Michele ya Tanzania nilijaribu once na sijawainunua tena. First, it's non aromatic and two zinashikana. I don't like rice inakaa kama ugali.
Michele ya asia huwa haishikani kweli na hata yetu pia haishikani, pia ukipika mchele wa tz afu ukaona inashikana na wewe hukutaka iwe hivyo basi ujue tu jirani kupika wali huwezi, unapika mchele kwa njia ya kupika ubwabwa afu unategemea upate wali. Jirani kuna wali na ubwabwa, wewe unaonekana unapenda sana wali ila unaweza kupika ubwabwa. Mapishi ni sayansi... Uje kwa dada zetu wakufundishe kupika. Kwanza ushawahi kuona wali wa mahindi? Au umezoea ugali tu?
 
Back
Top Bottom