Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which Tanzanian team ishaitabeba hiyo conference?πŸ˜‚
 
🀣 🀣 🀣 Do you have RO-RO?
For importing vehicles that are 20 yrs old? Nop, we don't do that here. In Kenya vehicles are produced locally. The ones that we import are 7yrs old and below.
 
For importing vehicles that are 20 yrs old? Nop, we don't do that here. In Kenya vehicles are produced locally. The ones that we import are 7yrs old and below.
Mombasa hakuna Ro-Ro 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Tanzania is a gate way of more than 8 countries so tunaruhusu watu kulingana na sera za nchi zao.
But the truth is Kenya does not have Ro-Ro 🀣🀣🀣🀣
 
Today's Fact.

Tanzania is the only country with no win at AFCON since the beginning of the world.
 
Hizi story za tuta tuta tulianza kuzisikia Toka enzi ya Nyerere na hakuna kilichobadilika hata moja. Umasikini bado ni ile ile
Tuta ipi nimezungumzia mimi hapo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimepost hadi picha ili uone what's going kwa ground, unasema nimezungumzia "tuta" this is what going on πŸ‘‡.. πŸ‘‡
View: https://youtu.be/evK_9WjuqLk?si=duKTf_PvXNqzxwHE. Hayo ni mashamba ya BBT projects DODOMA.. mji ambao ni semi arid kama unavyoleta excuse zako ati 3/4 ya kenya ni semi arid ndio mana hakuna kilimo chenye mnafanya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…