IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,293
- 9,465
Says a boyChildish ideas.
Wasindikizaji karibuni nyumbani. 😂 😂 😂 😂
![]()
First of all our gdp per capita sio 900 hiyo ni data ya kibera also with the depreciating Ksh per capita yenu iko ngapi sasa bearing in mind kuwa Ksh has depreciated by more than 50% since 2021 😁your country with a gdp per capita of 900 dollars a year is a real failed state,,,,nyinyi ni burundi iko na kelele tu na big land mass nothing much.
Mimi ndio maana sibishani nao ubishi wao ni wa kitoto na hauko supported na facts.😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo jamaa najiuliza hivi hata udadavuzi huwa anafanya?
Maana anavyobisha na kujibu vichekesho.
Na ashaanza kusema kirumi kinaoana na kilatini.
Graphite ina tumikaje mkuu na thamani yake ikoje??
Hii kitu kazi yake nini?Tanzanian nickel deposit project is world’s largest
Kenya ni zero tupu. The future is Tanzania