Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taifa stars inaomba mchango ?? Watu wanaiba pesa mpaka wengine watoto wao wanafanya birthday kwenye private jet hewani alaf tunaomba mchango ???

Kuna shida sehemu niamini mm🀣🀣🀣🀣
Hii ni mara ya pili sasa unasema watoto kufanya birthday kwenye private jet, ni nani hao, au unaweza kutupa hiyo video hapa?
 
Hicho ni cha Tanzania. Kenya hatuna huo upuzi. No wonder kusoma article inayoongelea Uganda mnashindwa mnadhani ni Kenya.
Huwa mnamatamshi mabovu sana ya kiingereza kwasababu ya lafudhi nzenu nzito. Tena ukimkuta Mkikuyu, kuna shida nyingine ya kutamka maneno yenye 'th', mfano 'think' atasema 'dhink'. Maneno yenye 'or', mfano 'work' au 'word', yanatamkwa kwa 'ae' sound, siyo 'a' sound kama Wakenya mnavyotamka.
 
Na mm siku ya kwanza niliuliza pesa zinachangishwa za nn na zinakwenda wapi?
 
Si mko na ligi Bora kuwashinda?
To 4 in Africa πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona hatuoni matunda yake?
Ama mmejaza foreigners tupuuu mkasahau kuEMPOWER wazawa!!!
Tuna league bora sana ya 5 africa lakini shida yetu team ya taifa haina muunganiko mzuri, mbona huizungumzii south africa iko top 4 kwenye league lakini ilifungwa na mali?
 
Eti mgunda nae ni kocha wakimataifa hii nchi inavichekesho sana 🀣🀣🀣🀣🀣 anapewa team akapambane na watu wenye kazi zao, angalia sub za kocha tu wa zambia utaona kabisa ni kocha mwenye mbinu anaejua kazi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…