Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Ni vizuri waendelee kuamini hivyo,hamna kuwashtuaWakenya aliyewadanganya mpo sawa na Tanzania aliwaongopea sana na aliwakosea sana wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/USuXfOR7yRg?si=0VPShU1SPtVEn0xQ
MY TAKE
Hawa ndo wanaweza kuongea mbele yetu when it comes to BRT!
Anhh wapi vituo vyao vya kawaida sana tena vyetu vizuri sanaNi wakupigiwa mfano,nimevutiwa na vituo vyao, kwa namna ninavyoamini Mola atakuwa amewaongoza wabunifu wetu kwa phases zinazofuata kutubunia vituo vinavyovutia!. Ni jambo la kujidai pia sisi kama Tanzania kuwa vinara na sehemu ya kuchota maarifa linapokuja suala la BRT Systems. Nimeona kaclip ka blue buses zetu kamechomekwa sehemu flani!😃Viva Tanzania, Viva Africa!.💪🏾✊🏾.
Vile vya phase 2 binafsi sijavipenda! Sema ni signature!Anhh wapi vituo vyao vya kawaida sana tena vyetu vizuri sana
View: https://youtu.be/USuXfOR7yRg?si=0VPShU1SPtVEn0xQ
MY TAKE
Hawa ndo wanaweza kuongea mbele yetu when it comes to BRT!
Hini ni kweli alisema haya?Jirani hana chakula, hana dawa, anafurushwa Kwa manyumba, analipa Kodi ya juu na anakopa sana. Anaongea kizungu tu bila afya. - Her excellency Suluhu.
hawa wamekalia kaa la moto! Ni mwendo wa ku-report all delays and cancellations.Leo lilikuwa cancelled 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2865095
Hapo hawezi kukuelewa atajifanya hamnazo wakati Iko wazi mkandarasi amefilisika,hata anapolipwa pesa na govt kipaombele ni kwenda ku settle mambo yake Nje ya Nchi.Nilipokuwa nabishana na JF yoote humu kuhusu ulimbukeni wa kuwapa tenda Yapi Merkezi bila kushindanishwa nililiona hili!
Wakina ichoboy01 wakaona nawabania Yapi Merkezi na nawewekea usiku! Hii section sijui kama itaisha!