Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

为下个月的总统剪彩做准备!
SinoTan Industrial park ( Kutokana na tarehe ya video mwezi ujao Rais anakata Utepe)
Huyo ni Boss mwenyewe Janson Huang

IMG_3397.jpeg



9.94 vfb:/ c@a.nD 07/23 复制打开抖音,看看【JANSON在非洲的作品】坦桑尼亚总统府首席秘书率队视察中坦工业园。# 非洲... https://v.douyin.com/iLegkXST/
 
Nilipokuwa nabishana na JF yoote humu kuhusu ulimbukeni wa kuwapa tenda Yapi Merkezi bila kushindanishwa nililiona hili!
Wakina ichoboy01 wakaona nawabania Yapi Merkezi na nawewekea usiku! Hii section sijui kama itaisha!
Unataka hiyo section iisheeje mkuu.? Mbona hata zile overpass zote DSM ziko na progress nzuri tu.?
 
Wakunya wakipiga njuru dhidi ya makubaliano ya nchi jirani yasiyowahusu!
Mijitu ya Ovyo EA, yaani jirani akinufaika inajikuta kutaka kumkingia. EACOP inajikuta kuandamana utafikiri ni Bomba lipo nchi yao.

Nishasema Tulio humu tungekua na Mpini wa Nchi, Now Kenya ingekua mayowee kila mahali.
 
Back
Top Bottom