Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is like a wife to Kenya. We beat them whenever we like
Screenshot_20240106-205544_1.jpg
 
Dodoma na Arusha wafikirie kuwa na mwendokasi(BRT) ya umeme kama Senegal

View: https://www.instagram.com/p/C1wMZfBNqjx/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Shida ni kuwa hapo kwenye wese watu wa mwendokasi wanakula, Kwani kuna ugumu gani kutumia hata gesi ambayo ipo bwelele? Dangote kafunga mfumo wa gesi kwenye malori yanayosambaza cement …
Wale vijana wa DIT ukitaka wakubunie gari ya abiria ya umeme ni chap tu unapata prototype..
Hata masudi kipanya alifanya akaweza, au hata basi tuwape ndugu zetu waganda Kiira Motors watuundie mabasi ya umeme wa Solar kwa ajili y’a Mwendokasi , however; we are Africans . With average iq leaders.
 
Wewe na huyo kima wako mshawahi kutumia BRT ikawa inasimama kila baada ya mita 100?
Umekosa jibu ukaona utafute escape route? Typical of bongolalas

And secondly, why would I use a transport system that stops every 100 meters when I have an emergency while I have the option to cruise on an expressway to my destination nonstop?

Think bongolala, think!!!
 
Mradi uliofeli?? Hivyo ndio unajiconsole?

Among the road projects in LAPSSET are the following and all are done and dusted

1. Lamu-Witu- Garden road (113km);
2. Lamu-Garissa-Moyale (530Km);
3. Isiolo-Moyale-Hawassa (505km);
4. Isiolo-Lokichar-Nadapal-Torit-Juba (700Km);
5. Isiolo – Marsabit – Moyale (505km)

Wewe endelea kujiliwaza na story za vijiweni hapo gongo la mboto
And yet mnasafirisha mbuzi, ng'ombe, punda, kondoo, ngamia na mavi yao!
 
Back
Top Bottom