Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chuga inahitaji BRT Angalau hata kuelekea uwanja unaojengwa utakaohost AFCON

View: https://www.youtube.com/watch?v=UFpcmefJE7w

Sure , Pia Chuga panahitaji Njia nne kuunganisha moshi na Arusha , ile road iko busy sana na kuna muda inakuwa na foleni kabisa , serikali ianze kwa internal funds . Hii misaada inatuchelewesha, tena ingekuwa ni mimi ningejenga reli nyepesi au metro kati ya moshi na Arusha Via Kilimanjaro international airport.
Arusha na Moshi needs lots of upgrade hasa ukizingatia ni eneo muhimu kwa watalii wale high end wanaoleta Wanaleta pesa nyingi sana za Kigeni.
Na sasa Wakunya wanafurika Arusha kila weekend kula bata.. optimizing those potentials needs some serious investments in infrastructure.
 
Chuga inahitaji BRT Angalau hata kuelekea uwanja unaojengwa utakaohost AFCON

View: https://www.youtube.com/watch?v=UFpcmefJE7w

nadhani Arusha yenyewe inahitaji uongozi serious! Maana kila siku tunaona ahadi tuu! Mara ujenzi wa kituo cha mabasi, mara Highway mpaka Moshi mara stadium ila hamna kinachofanyika! Ni migogoro tu! Jiulize babake Sabaya kushinda Uenyekiti wa CCM kunatoa dalili zipi? Kutumikia Arusha au kulinda maslahi?
 
Je tunauhakika gani kama serekali inawalipa wakandarasi kwa wakat??

Manake tusiongee vitu hatuna uhakika navyo na issue ya yapi markezi toka lot 1 and 2 kulikua na shida sana kwenye muda wa kumaliza mradi ambao ukifatilia kiundani utaona shida iko serekalini
wacha kuongea upuuzi hujui ubabaishaji wa Waturuki! Uchumi wao unaporomoka huko kwao! Ujenzi wa SGR unaenda kwa ku-raise certificates na huwa kuna utaratibu kati ya kampuni ya ujenzi na mabenki (guarantee) wanapopewa mikataba incase wanashindwa kutimiza majukumu kwakukosa fedha! Sasa using'ang'anie hawajalipwa! Kama hujui utaratibu wa tender ukoje nyamaza! SGR Makutupora-Tabora hawajafika hata 20% na walilipwa kianzio!
 
Eurobond debt affair Kunyaland!
toon30.jpg
 
Wakunya wakipiga njuru dhidi ya makubaliano ya nchi jirani yasiyowahusu!
Kunyan wamelishwa tango pori wao ni special flan while they are not,huku wameingia wivu uganda na TZ juu yao kule wana wivu na somaliland na ethiopia,hawajui kabisa nyakati hizi kila mtu anatakiwa ashinde match zake
 
Back
Top Bottom