Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ule muonekane wa gachagua na ruto kwa Tanzania ni wa kutafuta sana tena sana,ila ukienda uganda na sudan kusini sura na rangi zile ni za kumwaga,huko ndio kwa ndugu zao wakunyanduanastan huku kwetu wanafosi tu
Hata muonekano wa wakenya wa humu ni kama Gachagua na Ruto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ule muonekane wa gachagua na ruto kwa Tanzania ni wa kutafuta sana tena sana,ila ukienda uganda na sudan kusini sura na rangi zile ni za kumwaga,huko ndio kwa ndugu zao wakunyanduanastan huku kwetu wanafosi tu
hizi lugha za ubaguzi zinatoka wapi tena? Usukumagang unarudi tena?
 
Wakunya mkitaka Afcon tune in Azam pekee hakuna Cha DSTV L
Wala nani.
IMG_9245.jpeg
 
KSH has depreciated against all currencies including the dollar and the Euro, sio dhidi ya hiyo madafu yenu pekee yake. It's economics bongolala, not wishful thinkings. It will will get Bullish soon and regain its strength against local currencies. Enjoy the moment while it lasts
Sisi inatuhusu nn? Kila siku tulikuwa tunawaambia nchi yenu inaitegemea Tanzania kwa over 70% ya GDP yake mkawa mnabisha, mlikuwa mnafanya export kubwa kutokana na mali za Tz, leo Tanzania imeanza ku export mali zake yenyewe pasipo kushirikisha wakala (Kenya) unategemea nn? dafu lenu lineanza ku gain it's real value baada ya export kushuka na kupelekea ufinyu wa dollars, na hapo bado after five to ten years Tsh itakuwa juu ya Kshs mtake msitake, ni kama zamani tu Tzs ilikuwa juu ya vi currency vyote vya nchi za wapumbavu wa EA .
 
Wew dogo.. akili zako ni hafifu sana, sijui unaishije na hizo akili.
Wanaweza kuangalia AFCON kwa TBC kupitia DSTv
View attachment 2861406
Wewe mbuzi,Hawa tbc hawatarusha mechi zote kama Azam.Supersport Wana Haki ya premier ila Kuna Baadhi ya mechi zinarushws Hadi na Azam.Ndicho kitafanyika hata huko Afcon.

Rights za mechi zote ni Azam ila hao wengine watanunua Baadhi ya mechi tuu.

Wewe Babu una chuki Kwa Samia Hadi matraakon mwako.
 
Back
Top Bottom