Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka specs za hii nikon ziko vipi?
Boss huu Mzigo wa zamani sana nilinunua 2014 wakati nipo shule. Ni Nikon D7100. Ishachoka😂

Check hapa chini
 
Hiyo bus direct kutoka China hamna uwezo wa kujenga hiyo body!
Export to Tanzania
Screenshot_20231231-152919_1.jpg
 

As a result, countries in the greater Horn of Africa region – Djibouti, Ethiopia, Kenya, Somalia, South Sudan, Sudan and Uganda – face a dire food security and health outlook. Some 53 million people don’t have enough to eat. This is a significant increase from this time last year when 37 million people were food insecure.
 
Statistcs za uongo. Hakuna CRDB group wala NMB Group. Tafuta taarifa sahihi
Do you even know what a group is? You want to tell me those banks hawana branches? Alafu kama ni statistics za uongo ebu tuambie which bank has most assets in East Africa.
 
Sehemu pekee walikuwa wanajifariji ni kwenye bandari, nako huko tushawapiga, wakati Magufuli anaipanua Dar port hakuwa mjinga, alikuwa anajua ni kitu gn anafanya, yule mzee Mwenyezi amuweke panapo stahili, hakuna mradi hata mmoja aliofanya usiwe na impact.
Mama Samia inabidi afanye kweli mradi wa bagamoyo port maana maana miradi miwili mikubwa ya bwawa la umeme na daraja la busisi ishaisha inaipa space serikali kufanya miradi mingine mikubwa
 
Back
Top Bottom