Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini hivi visiwa havitumiki kuwavuta watalii
Hizo ni protected areas huruhusiwi kujenga permanent structure pale! nadhani kwa unachotaka kifnyike kuna Bagamoyo na Kigamboni kwa wenye nia ya kuwekeza! Sinda na Mbudya islands ni Marine Reserves with the IUCN category II located within Kigamboni District of Dar es Salaam Region in Tanzania. Kule ni picknic na kugeuza!
 
Kwanini hivi visiwa havitumiki kuwavuta watalii
Pazuri sana Aisee、 Jana kulikua na Watalii nane na watoa hudum wanne tu kisiwa kizima.

IMG_3133.jpeg


IMG_3225.jpeg
 
Back
Top Bottom