Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kuleta historia Simba ndio timu pekee Tanzania iliyofika semi final champions league na wala haturingi. Hapa tunaongelea kuhusu kuwapa motivation na nyie mshiriki level za juu champion league maana kipimo chenu halisi ni mtani 😁🤣🤣🤣
eti semi final, kombe lipi? hapa tunaongelea champions league mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Simba ameshawahi kupita katika makundi hayo hayo magumu na kufika robo fainali ugumu sio sababu wote hao ni ma champions ndio maana wanacheza champions league ulitaka ucheze na timu dhaifu kama kule confederation?
onesha kwamba simba alikuwa kwenye kundi lenye mabingwa watupu. Eti confederation kuna timu dhaifu, mbona hamkuwahi kufika japo robo ya confederation? si mlicheza kule nyinyi? kwa sasa mkubali tuu kwamba yanga sio level yenu, kila mtu anajua humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Embu angalia link hiyo mafanikio yote ya Simba yako hapo. Angalia kwenye mafanikio ya Champions league tulicheza na Mehalla ya Misri.

cup ndio champions league? 🤣🤣🤣🤣
 
eti semi final, kombe lipi? hapa tunaongelea champions league mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu hata kama unaishabikia Yanga, weka mapenzi pembeni, simba ameipambania nchi sana CAF, back then Tulikua tunapeleka timu mbili tu, na unakuta zote hazitoboi, hata makundi, Ila Simba kajazia nchi point kama zote now tupo na Uhakika wa kupeleka 4 kila msimu na imefika hadi Timu moja ya TZ inaanzia mechi ya mwisho ya mtoano.

Kwako hayo sio mafanikio?


Ndio Yanga anacheza vizuri now, vipi kama kusingekua na timu yoyote iliyotoboa CAF, unadhani yanga Malengo yao yangekua wapi kama si kuingia makundi tu, kwa sababu simba ashapiga Robo mpaka imezoeleka, Yanga mkaweza weka malengo mpaka Nusu to up,

Simba aheshimiwe tafadhali. Tusingekua huku kutambia watu CAF.
 
kivipi hapo sijaelewa mkuu, mmeisafishia njia yanga kwenye lipi? kwani robo fainali nani hajaingia kati ya timu hizi mbili? yanga ndio ya kwanza kuingia robo fainali ya CAF nchi hii, kama unaongelea simba imetoa mchango mkubwa kwa timu za tz kuingia mbili hiyo sisi haituhusu mana hata kama ingekuwa tunaingiza timu moja basi miaka hii mitatu tungekuwa tunaingia sisi tu, na sio miaka hii mitatu bali miaka hii zaidi ya mitano ingeingia yanga tu, yanga hii itachukua ligi kwa miaka mingi sn mana mpk sasa hakuna timu iliyo serious kupambana na yanga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kweli mwaka huu mngeingia ki vyovyote ila kama msingekuwa mabingwa, bado mgekuwa na nafasi kwasababu ya rekodi tuliyoiweka. Tusiongee mengi, tusubiri tuone nani atafika mbali CAF.
 
Really!? Huo ni ushabiki tu. Wallahi hujawazia hayo mambo kindani. Debt huja kwa kila taifa kwa mda wa miaka kama 5 hivi baada ya kufanya miradi mikubwa kwa deni!
There is a big difference between using borrowed money for intended projects and mismanagement of borrowed funds to enrich political elites
cup ndio champions league? 🤣🤣🤣🤣
Unajitoa ufahamu sio kwenye hiyo link under champion league hujaona Simba semi final ama ni mapenzi tuu na timu yako?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mafanikio ni kucheza robo tu hakuna mafanikio mengine
Huo ni unazi sasa hata unapopewa takwimu halisi bado unabisha kama kina nyangau ambao wanabisha vitu ambavyo ni obvious.
 
onesha kwamba simba alikuwa kwenye kundi lenye mabingwa watupu. Eti confederation kuna timu dhaifu, mbona hamkuwahi kufika japo robo ya confederation? si mlicheza kule nyinyi? kwa sasa mkubali tuu kwamba yanga sio level yenu, kila mtu anajua humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Timu yoyote Africa ambayo haijakuwa considered for African Football League na FIFA Club World Cup zote ni dhaifu na timu ndogo tuu ukweli ndio huo kama hutaki meza wembe.
 
Kweli Tanzania wanajaribu mambo kadha, ambayo nyingi pia ni ya mkopo ambao miaka mitano ijayo itakuwa ikiwasumbua. Kenya sahi ipo hapo tayari. Tanzanian wakifika pale, Kenya nayo itakuwa ikifanya makubwa zaidi. Ila kwa miji, Dar kweli ipo nyuma sana ukilinganisha na Nairobi. Mbali tena sana. Tazama hapa halafu uiweke Dar kwenye Taswira

View: https://youtu.be/cw9AeLtdH0M?si=OmAjkF_uEDrxudVo

We sema unataka viewersšŸ˜„
 
There is a big difference between using borrowed money for intended projects and mismanagement of borrowed funds to enrich political elites
Unajitoa ufahamu sio kwenye hiyo link under champion league hujaona Simba semi final ama ni mapenzi tuu na timu yako?
Unajua hata Ethiopia walijitia ujuaji hivyo. Sasa ona. They used to say, we are building an electric SGR, our economy is good, our Debt to GDP is way below.... Now see
Screenshot_2023-12-26-21-05-38-90_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Brother kuna kitu huelewi au? Chuo ulisomea nini? Haujawahi kusoma hata somo moja la DS?

Shughuli yoyote ina athari, twakimu hazitoshi kuonesha matokeo chanya kwa chanzo (NCHI) tunaweza kua na takwimu nzuri ya uwekezaji, ila mishahara ya 6000 kwa siku kwa mfanyakazi WTF?

Na unakuta mwekezaji kapewa kibali cha kutolipa kodi muda flani.

Hapa ndio tunaogelea, tunataka uwekezaji unakua wa tija zaidi, mfano ukiweka kiwanda kinakua na High and positive Backwards, lateral and forward linkages.

Acha kelele za kisiasa, hayo matatizo ndio yanasababisha reserve ya dola iwe chini japokua miradi yetu inazidi reserve ya pesa za kigeni.

Mwisho tutaishia kua kama Wakunya, maana hamna chochote cha kunufaika hapo, ila wao kidogo wana afadhali wana Western investment kwa viwanda ni afadhali kuliko mchina wa chini na mhindi aliyetoka kudeki UAE.
Achana na huyo fala.

Miradi 129 thamani ya $1B. Mjinga sana.
 
Unajua hata Ethiopia walijitia ujuaji hivyo. Sasa ona. They used to say, we are building an electric SGR, our economy is good, our Debt to GDP is way below.... Now see
View attachment 2853975
Sasa unafananisha Ethiopia isiyo na history ya kutumia railway na Tanzania?

BTW kuna hili....

Na

hili..
 
Back
Top Bottom