chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Hizi light industries wangeachiwa wabongo tu wapewe kipaumbele, mbongo ataishia kuwa mkulima na mchuuzi tu, viwanda kama vya plastic, godoro, beverages, packagings na other light industries serikali ingeacha kutoa incentives kama ardhi ya bure kwa foreign investors, serikali ije na program ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani wa ngazi ya chini kuwa level ya kati, tunakoelekea miaka 20 ijayo wabongo hawatakua na uchumi wa maana
Nchi pekee iliyo vizuri hapo ni Egypt tu.All countries in that list are better than Tz.
Upewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.Hizi light industries wangeachiwa wabongo tu wapewe kipaumbele, mbongo ataishia kuwa mkulima na mchuuzi tu, viwanda kama vya plastic, godoro, beverages, packagings na other light industries serikali ingeacha kutoa incentives kama ardhi ya bure kwa foreign investors, serikali ije na program ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani wa ngazi ya chini kuwa level ya kati, tunakoelekea miaka 20 ijayo wabongo hawatakua na uchumi wa maana
KUpewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.
Kumpa mchina ekari 40 za bure tena kwenye maeneo prime kisa anawekeza bil 3 ni ujinga, akanunue mwenyewe, kiwanda cha plastic ni backyard factory ni kama mradi wa kuku wa mayai kibongo bongo, hata permanently employees wanaweza wasifike 10, kahama kwenyewe na Shinyanga vipo zaidi ya viwanda vi5 vya plastic vya wazawa, TIC haijui how deep local content should have to goUpewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.
Hapewi kama Mali yake Bali hiyo ni lease.K
Kumpa mchina ekari 40 za bure tena kwenye maeneo prime kisa anawekeza bil 3 ni ujinga, akanunue mwenyewe, kiwanda cha plastic ni backyard factory ni kama mradi wa kuku wa mayai kibongo bongo, hata permanently employees wanaweza wasifike 10, kahama kwenyewe na Shinyanga vipo zaidi ya viwanda vi5 vya plastic vya wazawa, TIC haijui how deep local content should have to go
heheheheee nakuhakikishia soon utakosa cha kuongea kama wakenya humu, tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka tuongee na takwimu acha longolongo mkuu. Nadhani takwimu ziko wazi na vigezo vinavyotumika ni champions league sio loosers cup mkuu 😁
Watz hamna kitu mnachokielewa nyinyi. Mbona mna matatizo!? Hmn! Nkt!!!kelele za toka Kibaki era!
Hizi light industries wangeachiwa wabongo tu wapewe kipaumbele, mbongo ataishia kuwa mkulima na mchuuzi tu, viwanda kama vya plastic, godoro, beverages, packagings na other light industries serikali ingeacha kutoa incentives kama ardhi ya bure kwa foreign investors, serikali ije na program ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani wa ngazi ya chini kuwa level ya kati, tunakoelekea miaka 20 ijayo wabongo hawatakua na uchumi wa maana
Bakhresa alikuwa halimi ila serikali ya Magu ilimshawishi alime miwa kwa kumpa ardhi kubwa Bagamoyo na kujenga kiwanda cha sukari. Serikali inauwezo mkubwa wa kuhamashisha wananchi wake kuleta maendeleo na hivi wiwanda vya tungeweza kujenga wenyewe.Upewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.
Vyama vyote vya upinzani kwenye nchi hii vina hali na morali wa kuiletea Tanzania Maendeleo.......ifike hatua hiki Chama cha Mapinduzi kipumzikeSwali la kizushi ni chama kipi au wanasiasa wapi wa nchi hii waliodhamiria na kujipanga kuleta hayo mabadiliko?!
Sidhani kama mabank yetu na wizara ya uwekezaji inalifikiria hilo, inatakiwa tenders zote za serikali kwanza wapewe wabongo, miradi ya ujenzi chini ya billion 50 wapewe wabongo mabank yawe na program ya kuwajengea uwezo wawekezaji wadogo wafike levels za juu kwa kuwapa mikopo nafuu na upendeleo, Mchina akija kuwekeza anachukua pesa yote anaibadilisha kuwa dollars inarudi China ni tofauti na mbongo ambae ataitumia yote Tanzania, sio kila aina zote za foreign investments ni nzuri nyingine zinadrain economy hasa zile zisizokua na joint venturing na local investmentBakhresa alikuwa halimi ila serikali ya Magu ilimshawishi alime miwa kwa kumpa ardhi kubwa Bagamoyo na kujenga kiwanda cha sukari. Serikali inauwezo mkubwa wa kuhamashisha wananchi wake kuleta maendeleo na hivi wiwanda vya tungeweza kujenga wenyewe.
Huo ni mtazamo wako ila kwa upande wangu mimi bado sijaona chama kilicho madhubuti imara kabisa unachoweza kukiamini kwamba kitaleta challange chaya kwa CCM. Vyama vingi havina dira hata ukisoma tu ilani zao unachoka kbs wengi ni wachumia tumbo “toka niingie mimi au nipige makelele unipoze kwa namna ile maisha yaendelee” Siasa za kiafrika figisu. Pamoja na mapungufu yake yote ila mpk sasa hakuna chama bora Tanzania kuliko Chama cha Mapinduzi, Huu ndo ukweli mchungu.Vyama vyote vya upinzani kwenye nchi hii vina hali na morali wa kuiletea Tanzania Maendeleo.......ifike hatua hiki Chama cha Mapinduzi kipumzike
Haiwezekani tunaelekea miaka 70 toka uhuru ni Chama kile kile kipo kwenye dola na bado kinafanya machafu kwenye hili taifa......Tunahitaji mawazo mbadala kutoka kwa vyama mbadala ili tuweze fanikiwa
Mda wa kubembeleza watu haupo anaetaka atafanya mwenyewe awe Mchina au mzungu au Mwarabu.Bakhresa alikuwa halimi ila serikali ya Magu ilimshawishi alime miwa kwa kumpa ardhi kubwa Bagamoyo na kujenga kiwanda cha sukari. Serikali inauwezo mkubwa wa kuhamashisha wananchi wake kuleta maendeleo na hivi wiwanda vya tungeweza kujenga wenyewe.
Hapa kwangu haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuwa tofauti kati ya miji hii miwili:Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Mkuu wewe akili yako ni ndogo sana na nina wasiwasi itakuwa ni kada au chawa mtiifu kwa CCM........Hivi ushawahi kujiuliza miaka 62 ya uhuru lakini bado umaskini ni sehemu ya maisha ya Mtanzania na hao viongozi wa ccm wanajigamba kwa kujitapa kuwa wao ni wanyonge kama vile umaskini ni "JOHO LA UFAHARI" na wakati wengi wao wanaishi Masaki,oysterbay,Mbezi na mbweni lakini wanawalazimisha wananchi kuwa Unyonge au umaskini ni sifa ya uanadamuHuo ni mtazamo wako ila kwa upande wangu mimi bado sijaona chama kilicho madhubuti imara kabisa unachoweza kukiamini kwamba kitaleta challange chaya kwa CCM. Vyama vingi havina dira hata ukisoma tu ilani zao unachoka kbs wengi ni wachumia tumbo “toka niingie mimi au nipige makelele unipoze kwa namna ile maisha yaendelee” Siasa za kiafrika figisu. Pamoja na mapungufu yake yote ila mpk sasa hakuna chama bora Tanzania kuliko Chama cha Mapinduzi, Huu ndo ukweli mchungu.