Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

deni ya nchi hailipwi safari moja...inaweza chukua hata miaka 100...sasa unataka kuniambia kuwa in 100 years, Kenya itashindwa kupia deni hii? deni inalipwa pole pole...ni kazi ya IMF ku raise alarm but truth be told, hakuna any danger
Hivi wewe mbona kichwa chako ni kigumu kuelewa?, ngoja nikupe mifano.ya darasa la tatu, ni kama kujaza maji kwenye ndoo yenye tundu chini, haitojaa kamwe.

Kenya inaendelea kukopa wakati uwezo wake wa kulipa ni mdogo, IMF imewaambia mkifikia 60%, wakopeshaji wataanza kuogopa kuwakopesha, je mtakaa bila mikopo hadi mtakapomaliza kurudisha hilo deni?, sasa kama hata IMF unabishana nao ambao ndiyo wanatumika kama ndiye anayesikilizwa na wakopeshaji, hiyo ni akili kweli?
 
Hao achana nao leo nimewashika kwenye makende hawana ujanja😀😀
 
Hivi wewe mbona kichwa chako ni kigumu kuelewa?, ngoja nikupe mifano.ya darasa la tatu, ni kama kujaza maji kwenye ndoo yenye tundu chini, haitojaa kamwe.

Kenya inaendelea kukopa wakati uwezo wake wa kulipa ni mdogo, IMF imewaambia mkifikia 60%, wakopeshaji wataanza kuogopa kuwakopesha, je mtakaa bila mikopo hadi mtakapomaliza kurudisha hilo deni?, sasa kama hata IMF unabishana nao ambao ndiyo wanatumika kama ndiye anayesikilizwa na wakopeshaji, hiyo ni akili kweli?
kenya inaweza hata ikakopa zaidi na hakuna shida itakayopatikana in the short term...nimemaliza...hizo mifano pelekea nyanyako mkajadili...😀😀
 
kenya inaweza hata ikakopa zaidi na hakuna shida itakayopatikana in the short term...nimemaliza...hizo mifano peleka nyanyako mkajadili...😀😀
Mkopeshwe na nani wakati wakopeshaji ndiyo hao.wanaanza kuwaogopa, labda mkope kwa alshabaab kwasababu mnawasaidia kuuza mkaa
 
Ata Japan ni developed of dept with ratio 250%
Nimekwambia na narudia kukwambia japan is developed country uchumi wake ni wa tano au wasita duniani hata wawe na debt 300% huwez kuskia nchi yao inayumba kwasababu uwezo wakulipa upo na ndio maana IMF imewaonya nyinyi masikini kua deni la taifa linatikisa uchumi wa nchi
 
Mkopeshwe na nani wakati wakopeshaji ndiyo hao.wanaanza kuwaogopa, labda mkope kwa alshabaab kwasababu mnawasaidia kuuza mkaa
Kumbe siku zote wanapiga kelele humu yani Debt to GDP ratio ni 60% hapo kuna uchumi kweli 😀😀😀😀 kumbe wanamadeni mpaka matakoni
 
Nimekwambia na narudia kukwambia japan is developed country uchumi wake ni wa tano au wasita duniani hata wawe na debt 300% huwez kuskia nchi yao inayumba kwasababu uwezo wakulipa upo na ndio maana IMF imewaonya nyinyi masikini kua deni la taifa linatikisa uchumi wa nchi
sawa tieni jitihada kujitoa ktk nchi maskini za LDC...dont worry abt Kenya debt
 
tutakopa huko kwa alshabaab basi...pumbavu mkubwa..😀😀
Hasira hasara😀😀😀😀😀 hebu punguza hasira hapa
IMG_1075.jpg
IMG_1076.PNG
 
tutakopa huko kwa alshabaab basi...pumbavu mkubwa..😀😀
Tukana unavyotaka ila ukweli ndiyo huo mlioambiwa na IMF, usinikasirikie mimi, hao ni IMF, na miaka hii mitano ya Uhuru na mvutano na NASA, lazima mtaikimbia nchi yenu.
 
Back
Top Bottom