El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
kuwa mwanahabari umekusaidia kupiga picha za Kawaida kwa wingi....kudosamazing view of surfaced/paved roads in tanzania.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kuwa mwanahabari umekusaidia kupiga picha za Kawaida kwa wingi....kudosamazing view of surfaced/paved roads in tanzania.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nioneshe kua baiskeli zinabeba abiria amsterdam plzna Amsterdam?
hii mall nakumbuka nilipokuwa miaka kumi tu babangu alitupeleka Jumapili moja...it is very old...Inamiaka mingap
Dar has 188So ??? What is ur point
Ya USA ni 110% ya GDP yaoAsante IMF...GDP ya mikopo na madeni
GDP yote ya kenya asilimia 60 ni deni alaf wapuuzi wanafungua midomo hapa😀😀😀😀😀
View attachment 636032
Nenda ukae utulize akili vzr😀😀😀😀Dar has 188
Msa has 122
Nairobi 1318
Johannesburg 1220
Lagos 1190
So you know your competitors
Tuna picha za kiberaNenda ukae utulize akili vzr😀😀😀😀
😀😀😀😀 Leo kenya inajiweka mstari mmoja na USA eti kwasababu wao wanadeni na nyie muwe na deni, so uchumi wa USA ni sawa na kenya????Ya USA ni 110% ya GDP yao
kwa hiyo, serikali itachukua asilimia yote 60 ya GDP ilipe deni kwa safari moja sio?😀😀😀ujinga ulionao ndugu unanipa wasiwasi...hivi unajua maana ya GDP?Asante IMF...GDP ya mikopo na madeni
GDP yote ya kenya asilimia 60 ni deni alaf wapuuzi wanafungua midomo hapa😀😀😀😀😀
View attachment 636032
Japan sio size yako kwenye GDP, japan is among top 10 powerful economic country in the world, wewe usipeleke akili yako stage ya 100 wakat 50 hujapita😀😀😀 ndio maana nimekwambia tuliza ubongo wakoAlafu Japan GDP to dept ratio ni 250% ya GDP
Haha kama unaweza lipa loan ndio unapewa..kama hauwezani haupewi😀😀😀😀 Leo kenya inajiweka mstari mmoja na USA eti kwasababu wao wanadeni na nyie muwe na deni, so uchumi wa USA ni sawa na kenya????
Sio mm ni IMF walilie hao😀😀😀😀kwa hiyo, serikali itachukua asilimia yote 60 ya GDP ilipe deni kwa safari moja sio?😀😀😀ujinga ulionao ndugu unanipa wasiwasi...hivi unajua maana ya GDP?
asilimia kubwa ya GDP ya nchi hata haiko mikononi mwa serikali...iko kwa watu binafsi na makampuni...kwa hiyo unamaanisha wachina wataenda kwa watu binafsi kuwaambia walipe deni sio?😀😀huwa mnafunzwa nini bongo?
Sasa nani atakupa loan wewe ikiwa GDP yako 60% ni deni????? Akili ndogo tu😀😀😀😀😀Haha kama unaweza lipa loan ndio unapewa..kama hauwezani haupewi
Haha wewe tuma picha za kibera hauna cha maanaJapan sio size yako kwenye GDP, japan is among top 10 powerful economic country in the world, wewe usipeleke akili yako stage ya 100 wakat 50 hujapita😀😀😀 ndio maana nimekwambia tuliza ubongo wako
Ujanja wote kumbe GDP 60% ni deni hahahaHaha wewe tuma picha za kibera hauna cha maana
sasa kwa sababu deni la nchi ni asilimia 60 ya GDP ina maana debtors watachukua hio asilimia 60 safari moja Kenya ibaki na asilimia 40 ya GDP kwa mtazamo wako sio?😀😀😀mi nakwambia ningepelekwa shule tz najinyonga...mnafunzwa hivi shuleni sio? Hisabati na Kemia...Pwahahaha
wachina wanaidai serikali ya Kenya...sio GDP ya Kenya...see this idiot...hahaUjanja wote kumbe GDP 60% ni deni hahaha
Asante sana IMF😀😀😀😀😀😀 kumbe mchina wa gari moshi alikuja kupigilia msumari
Wameambiwa wapumguze na huo ushauri umetoka IMF sasa ikiwa nchi imefkia hatua debt to GDP ratio ni 60% kuna uchumi gani hapo????? Kumbe mbwembwe zote munanuka madeni 😛😛😛😛sasa kwa sababu deni la nchi ni asilimia 60 ya GDP ina maana debtors watachukua hio asilimia 60 safari moja Kenya ibaki na asilimia 40 ya GDP kwa mtazamo wako sio?😀😀😀mi nakwambia ningeplekwa shule tz najinyonga...mnafunzwa hivi shuleni sio?