Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukisema morroco square kuna mall mnasema tunaongea upuuzi aki kuna shida apa!!nadhan project ya morroco square gharama zake nizilete apa itamake sense kidogo

Sijui tutatumia muda kiasi gani kuelewesha mijamaaa ya middle income Country kwamba Morocco square ni Mixed Use yenye Mall, Hotel, Offices na residential , Mtu anakuja eti tunaongelea malls, Utafikiri sisi gorofani hamna wapangaji Kama wao, halafu hapo hapo Kuna mtu anapost barabara ambayo hata haeleweki anataka kusema nini ( Yaani ni ulimbukeni, maana yake barabara yenyewe Ndio kwanza Wanayo) mwingine Ndio anapost kabisa wind power project, halafu yanajiita Ndio wanaelewa hii thread unahusu nini.
What a loss.
 
wachina wanaidai serikali ya Kenya...sio GDP ya Kenya...see this idiot...haha
soma hapo ndugu hakuna kuzungusha mada
Wapi nimesema wachina wanadai GDP
IMG_1075.jpg
 
Wameambiwa wapumguze na huo ushauri umetoka IMF sasa ikiwa nchi imefkia hatua debt to GDP ratio ni 60% kuna uchumi gani hapo????? Kumbe mbwembwe zote munanuka madeni 😛😛😛😛
debt to GDP ratio ya Marekani, France, Japan, Russia Greece n.k...hebu piga search ujiionee jinsi ulivo mjinga...😀😀😀

Debt-to-GDP Patterns in the United States. The United States had a debt-to-GDP ratio of 104.17% in 2015 according to the U.S. Bureau of Public Debt.
 
America sio same path na kenya ndugu, dont talk of first world country while uko third world country na hicho kitu ndicho kinawacost sana kupiga mahesabu ya gorofa wakat kibanda huna, america is among powerful economic countries hata wawe wanadaiwa us trillion 100 hawawez kuyumba hata siku moja😀😀😀
 
mimi nakwambia kile mnafunzwa tz ni aibu...haya tazama
Debt-to-GDP Patterns
United States=104.17%
France=96%
Italy=132%
Japan=240%
UK=89%
SA=51%
Haya msikieni mkenya leo ananitajia first world countries anafananisha na kenya, 😀😀😀😀😀 Kweli akili ni nywele kila mmoja anazo zake
 
America sio same path na kenya ndugu, dont talk of first world country while uko third world country na hicho kitu ndicho kinawacost sana kupiga mahesabu ya gorofa wakat kibanda huna, america is among powerful economic countries hata wawe wanadaiwa us trillion 100 hawawez kuyumba hata siku moja😀😀😀
whats the difference? lol! BTW, I have a degree in Economics na naweza nikakwambia kuwa nimesoma kuhusu GDP ya US, UK kwa muda mrefu.... wakati US na UK walipokuwa third world, walikuwa hali mbaya hata kuliko nchi za Africa...ila waonee walipo sasa hivi
 
sasa kwa sababu deni la nchi ni asilimia 60 ya GDP ina maana debtors watachukua hio asilimia 60 safari moja Kenya ibaki na asilimia 40 ya GDP kwa mtazamo wako sio?😀😀😀mi nakwambia ningepelekwa shule tz najinyonga...mnafunzwa hivi shuleni sio? Hisabati na Kemia...Pwahahaha
Tatizo walilosema IMF ni kwamba uchumi wa Kenya hauna kasi ya kuweza kurudisha deni, hilo ndilo jambo la msingi kwa wakenya kulishughulikia, Japan deni lao ni zaidi ya 100%, lakini.sio tishio kwasababu uchumi wao una nguvu, Kenya mkiendelea hivi, ikifika 2019 nchi itafilisika kabisa.
 
deni ya nchi hailipwi safari moja...inaweza chukua hata miaka 100...sasa unataka kuniambia kuwa in 100 years, Kenya itashindwa kupia deni hii? deni inalipwa pole pole...ni kazi ya IMF ku raise alarm but truth be told, hakuna hatari yoyote kwa sasa...asilimia 60 bado ndogo sana...zipo nchi zilizo na deni ya 200% ila zipo tu
 
whats the diffrence? lol! BTW, I have a degre in Economics na nakwambia kile nimesoma kuhusu GDP ya US, UK na kadhalika ni kuwa wakati walipokuwa third world, walikuwa hali mbaya hata kuliko nchi za Africa...
Narudia kukwambia america sio level yako kwanza pambana na hali yako ile nchi hata iwe na deni la us trillion 100 haiwez yumba kipuuzi, 😀😀😀😀

Kweli leo nimeamini wewe ni nduza yani unafananisha economy ya america au europe na kenya😛😛
 
deni ya nchi hailipwi safari moja...inaweza chukua hata miaka 100...sasa unataka kuniambia kuwa in 100 years, Kenya itashindwa kupia deni hii? deni inalipwa pole pole...ni kazi ya IMF ku raise alarm but truth be told, hakuna any danger
Unaringanisha deni lako na deni la most powerful economic countries hvi uko timamu kweli????
Hata sikutegemea leo ungeongea upuuzi hvi😀😀
 
Haya msikieni mkenya leo ananitajia first world countries anafananisha na kenya, 😀😀😀😀😀 Kweli akili ni nywele kila mmoja anazo zake
nikupe tu ushauri....rudi shuleni uitishe karo zako...😀😀😀mlifunzwa ujinga
 
Unaringanisha deni lako na deni la most powerful economic countries hvi uko timamu kweli????
Hata sikutegemea leo ungeongea upuuzi hvi😀😀
hata nikakuletea deni la nchi kama Gabon mambo ni yale yale..hakuna tofauti...shida ni mtu anayeuza samaki pale kairakoo kubishana na mtu aliye na dgre ya Econ...😀😀haya nimemaliza sibishani nawe kwa hili tena..pengine lingine...😀😀napigia mbuzi guitar tu
 
nikupe tu ushauri....rudi shuleni uitishe karo zako...😀😀😀mlifunzwa ujinga
Ukiskia kilio leo ujue kilio cha samaki😀😀

Eti america 104% debt na hujawah kuskia inayumba wewe kenya 60% nchi imeyumba alaf unataka kufananisha ziwe sawa😛😛
 
Back
Top Bottom