Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Trash on the roads, potholes everywhere. Mud roads. Thanks for educating me.
Kinachokusumbua wewe ni chuki na wivu plus roho mbaya ya kikenya uliyozaliwa nayo, who are you to disrespect Zanzibar while majority tourists love and respect the heaven of the world "Zanzibar?" Mtu mwenyewe hata kutembea hutembei, umejibana Kibera miaka nenda rudi unadhani dunia inaishia Kibera tu.
 
Kama hujui historia unatakiwa kunyamaza, wayahudi na jamii zingine za kikristo ziliishi pamoja na waislamu ndani ya Palestine hata kipindi cha utawala wa dola ya kiislamu hapo Palestine (falestin zamani) ipo mikataba ya makubaliano hayo iliyisainiwa na aliyekuwa kiongozi mkuu wa kiislamu wakati huo (Calif ) Omar bin khattab, alieongoza uislamu Kati ya miaka ya 634-644, baada ya uislamu kushinda kuiteka Palestine waliruhusu watu wa imani zote waishi hapo na hata makanisa waliyoyakuta hawakuyavunja (hii ni kutokana na mafundisho ya kiislamu yanayokataza kulazimisha watu wa imani zingine kuwa waislamu) .

Kabla ya ushenzi wa Muingereza 1948 hapo hapakua na machafuko ya hivyo. Hii historia nadhani kwa msiyoijua nyamazeni kimyaa msijepotosha.
Nyie watu mnashindwaga kujiulizwa maswali basics sana,

Wako wapi Wayahudi wa Hejaz (Mecca na Medina)? kama kuishi na Waislam na kitu Rahisi

Unajua before Pre-Islamic, Wayahudi walikuwepo hadi Arabia na walikuwa hadi wana Taifa huru?

Kulikuwa na Koo au Makabila karibu kumi ya kiyahudi kwenye eneo la Saudi Arabia ya Leo,

Unawajua Yazids, Kurds? hawa wao walikaa kuwa Waarabu na kukubali mateso, Wayahudi walikataa kuwa Waarabu wala Waislam leo hii wanaonekana wavamizi wakati Waarabu ndio waliwavamia
 
Kinachokusumbua wewe ni chuki na wivu plus roho mbaya ya kikenya uliyozaliwa nayo, who are you to disrespect Zanzibar while majority tourists love and respect the heaven of the world "Zanzibar?" Mtu mwenyewe hata kutembea hutembei, umejibana Kibera miaka nenda rudi unadhani dunia inaishia Kibera tu.

Tourists know you are an LDC. So they give you a pass. And many of them never leave the beach areas anyway.

Here's the 'world renowned' Zanzibar through the eyes of the Pakistan motorcyclist.
I've seen better maintained village towns in Kenya that receive zero tourists. 😂 😂 😂

za1.JPG
za2.JPG
za3.JPG
za4.JPG
 
Tourists know you are an LDC. So they give you a pass. And many of them never leave the beach areas anyway.

Here's the 'world renowned' Zanzibar through the eyes of the Pakistan motorcyclist.
I've seen better maintained village towns in Kenya that receive zero tourists. 😂 😂 😂

View attachment 2846081View attachment 2846082View attachment 2846083View attachment 2846084
Nitafutie LDC yenye reli ya umeme.
Nitafutie LDC yenye BRT.
Nitafutie LDC inayojitosheleza kwa chakula.
Nitafutie LDC inayojitosheleza kwa maji nchi nzima.
Nitafutie LDC yenye high life expectancy.
Nitafutie LDC yenye bigger and modern airports.
Nitafutie LDC yenye big projects like Tz.

But, your country doesn't have any of what I mentioned above, so it's true when someone categories all East African countries as LDC countries except Tanzania.
 
Wana wivu kinoma. 😂😂😂

Tourists know you are an LDC. So they give you a pass. And many of them never leave the beach areas anyway.

Here's the 'world renowned' Zanzibar through the eyes of the Pakistan motorcyclist.
I've seen better maintained village towns in Kenya that receive zero tourists. 😂 😂 😂

View attachment 2846081View attachment 2846082View attachment 2846083View attachment 2846084
Hata ufanyeje au usemeje Zanzibar itabaki kuwa ZANZIBAR. Unanielewa wewe nyang'au?😎
 
Back
Top Bottom