Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Here we have universal health insurance kila mtanzania is covered
.
Nye nye nye🤣🤣🤣
Mjikubali mlivyo bongolalas
Screenshot_20231216-154323.jpg
 
Nov 2022 kweli??😁😁😁😁
Watu wanakupa habari ya jana ww unaleta ya mwaka jana??
View attachment 2844127
Na hiyo ilikuwa ni tatizo la engine kwenye A220 karibia zote kwenye nchi mbalimbali na watengenezaji walishahuri zipakiwe kwanza kwa ajili ya marekebisho.
Maana naona anatafuta pa kutokea. 😂😂😂
 
Na hiyo ilikuwa ni tatizo la engine kwenye A220 karibia zote kwenye nchi mbalimbali na watengenezaji walishahuri zipakiwe kwanza kwa ajili ya marekebisho.
Maana naona anatafuta pa kutokea. 😂😂😂
Anaumia sana na mm nafurah sana kuona akiumia 😅😅😅😅 sasa hvi huskii akiongelea masaki maana ndugu yake kashamwambia kua masaki ni ngoma nyingine
 
Kenya nzima haina uwanja wenye roof ya namna hii na ina-cover sitting area yote kama hivi! Wanajua ndo maana wako kimya! nawa-challenge walete zile international stadiums zao! Kule Ukunyani ni "mambati rollings"!Hapo hatujaongelea mabango ya matangazo ya kieletroniki!

mpumbavu wa ukoo wa Sadima alias mwai sadima Dickson mwaiofhawaii nakuona online njoo ujibu hii maneno!
Eboo em tumpuzishe kidogo sisi tuna international stadium yenyu ni so local tanzo bado nyie mko chini😎😎😎😎
IMG_6414.jpeg
IMG_6415.jpeg
 
Back
Top Bottom