The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Nilitaka niseme hivi nikaamua kuacha tu.Nchi maskini na omba omba kama kundustan pa1 na ile gdp yao ya kuchovya haiwezi kuendesha miradi ya kama ya rufiji hydropower,sgr,brt system phase 2,3,4 kwa wakati mmoja,huku miradi ya barabara nchi nzima ikiendelea na bado mishahara kwa watumishi wa umma inalipwa kwa wakati,angalia wazee wa gdp ya kuchovya kundustan vimiradi vyao na bado serikali yao inafikia kipindi inashindwa kulipa mishahara
made in Ukunyani! 😀😀
Hii nchi ina miradi inafanyika kimya kimya na tunaichukulia poa sababu na kuona kawaida kwa sababu ya miradi mikubwa inayoendelea so hii mingine tunaona kawaida,nchi inakimbia kwa kasi sana,kwa kasi hii hiyo 2030 tutakua pale kwenye GDP uliyoisema kakaNilitaka niseme hivi nikaamua kuacha tu.
Mbona Mombasa with ×3 ya meli zinazofika hapo Haina lines???Miaka ya 80 na 90 hapo meli hazikuzidi tatu zikisubiri, kwa hoja yako kipindi hicho kulikuwa na efficiency?
Labda kaahidiwa nusu bakuli 😁😁😁Egypt inataka kuionea hii Nchi Mwanachama wa EAC
View: https://twitter.com/ebczena/status/1734190498355827095?t=dd-q0h9-x0vvHhWU-hfBYA&s=19
Naunga mkono Commission Mpya iliyoandikwa na Ethiopia na kupitishwa na Baadhi ya Nchi za Bonde la Mto Nile inayoeleza masharti mapya ya Haki za matumizi ya maji ya Bonde la Mto Nile.
Nawakumbusha tuu,Wakunya hawaja ratify hiyo article ya Ethiopia kama kawaida ni wasaliti wa Africa.
Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Povu numero UNO!Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
Idadi ya watu, mahitaji na biashara pamoja na maendeleo yameongezeka sana ukanda wetu wa kusini (SADC) na hiyo ndiyo sababu ya huo msururu wa meli. Bandari tunazo tatu na ufanisi unaongezeka.Mbona Mombasa with ×3 ya meli zinazofika hapo Haina lines???
Jengeni more berths na muwe na efficiency,
Zero lines.
Burundi na Uganda ni makoloni yetu.Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
Mwisho wa siku mnacollect Less than 20m teus,Idadi ya watu, mahitaji na biashara pamoja na maendeleo yameongezeka sana ukanda wetu wa kusini (SADC) na hiyo ndiyo sababu ya huo msururu wa meli. Bandari tunazo tatu na ufanisi unaongezeka.
Umia taratibu kwa sasa maana huko mbeleni maumivu makubwa yanafuataMbona Mombasa with ×3 ya meli zinazofika hapo Haina lines???
Jengeni more berths na muwe na efficiency,
Zero lines.
Inasikitisha serikali yetu inashindwa kutoa takwimu za wagonjwa wanaotoka nje ya TZ kuja kutibiwa TZ,pale taasisi ya moyo ya jk kuna wakunya kibao wanapewa refarral kutoka naipori na kuja TZ,tena wanaandikiwa india au TZ mtu anaangalia gharama yake na wengi uprefer kuja TZ,kuna mmoja aliniambia india gharama india ni kubwa so ndio maana kaja TZ kafikia kwa ndugu zake anaenda muhimbili kwenye mazoezi na kurudi home mpaka atakapofanyiwa operation,na alifikia pale magomeni mapipa
Whatever makes you sleep at night.Mwisho wa siku mnacollect Less than 20m teus,
Iyo yote unasema ni story.
Poor efficiency ndio key word.
Tatizo lako wewe linalokusumbua ni chuki na wivu wa kike uliopitiliza, huwezi kukubali kwamba umeshindwa, mwisho wa siku utakimbia jamiiforums kisa Kenya kushindwa na Tz, usenge huo. Kubali kushindwa, jifunze kupitia makosa zen move on.Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
Yani wewe ni mjinga wa mwisho, alafu unaonekana una life gumu sana, watu wenye life gumu huwa na hasira muda wote kama wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwisho wa siku mnacollect Less than 20m teus,
Iyo yote unasema ni story.
Poor efficiency ndio key word.
Bado wanalilia mlima ina maana na wachaga awali walikuwa wakenya 🏃♂️