Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Natamani kuona current pictures za Kariakoo zinazoonyesha Kariakoo nzima kwa muonekano wa juu, there are more green nets in Kariakoo than the whole of Nairobi. View attachment 2838922more than 200 high rise buildings are under construction in Kariakoo as we speaking right now. Teargas I want you to know that.
Ebu tuonyeshe hizo nets. Hakuna kitu inaendelea huko uchawiland ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Kwa ujenzi unaoendelea Kariakoo wa ghorofa nadhani speed yake hata Dodoma hawafiki...

Hivi Ile battle ya malori waligoma kuingia kingi hawa kenge wa north?
Kariakoo inabalaa kaka gorofa zinazojengwa pale hivi sasa ni nyingi mno..

Battle ya lories wamehepa wanajua kitakachowakuta *****. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Teargas
Mida hii anasubiria umeme urudi ili atumie wi-fi ya bure
View attachment 2838950
Kumbe wifi yangu huwa inawakera๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
IMG_20231210_221849_724.jpg
 
Back
Top Bottom