Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ile sabuni yao ya jamaa imempata mwarobain sokoni anaitwa malaika anatokea zanzibar na sabuni nyingine kibao sasa jamaa sokoni ni chaguo la nne kwa mteja.
Mzee bidhaa za kenya zitapotea kabisa anytime soon, mana uni liver ndio walikua wanasumbua, saivi naona kila baada ya miezi miwili wanafanya marketing campaigns za bidhaa zao. 🤣🤣
 
Mzee bidhaa za kenya zitapotea kabisa anytime soon, mana uni liver ndio walikua wanasumbua, saivi naona kila baada ya miezi miwili wanafanya marketing campaigns za bidhaa zao. 🤣🤣
yaani napenda moyo tulioanzishiwa wa kupenda vya nyumbani sasa ni muda wa kuwalisha kwa bei zetu kama mchina.
 
😅😅😅polepole utaelewa tu Tanzania sio level yenu bongo hata machinga wa kawaida anatafata mzigo turkey na tena quality ya uhakika so keep hating 😂😂😂
Kuleta mzigo turkey ndio inakushangaza? Nyamakima traders go upto US, UK, France, China, Japan etc to buy goods.
 
We jamaa 🤣🤣🤣🤣unajua kwa nini france walifanya demonstration sababu ya bread? Kipindi hicho nilikua nchi jirani so don’t compare hata kidogo 😂😂😂ukunya kazi kweli 🤣🤣🤣🤣
Who asked you where you were? You can be in the neighboring country but you don't know a shit about France. So keep quiet.
 
Kuleta mzigo turkey ndio inakushangaza? Nyamakima traders go upto US, UK, France, China, Japan etc to buy goods.
Nimekupa mfano mzee mbona wabongo wengi wanaleta mizigo from all over the world!
So issue ya kutumia online platform especially kama kili mall Tanzania haiwezi!
 
There are only 3 e-commerce giants in Sub-Sahara Africa.

The Growth Of E-Commerce In Africa
 
Yule line 2 alikuwa ametumwa kuingamiza yanga.Kuna matukio matatu against Yanga. Alipeta ofiside ya mchezaji wa medeama maksudi,aliona ule mchezo hatari aliochezewa kibabage angeweza mshauri refa wa Kati kuwa ile ilikuwa straight red card,akarule out kuwa la kibabage ofside wakati ni halali.
 
Back
Top Bottom