Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii list naweza kukubaliana na hiyo top 3 tu, nchi zilizobaki haziwezi kuishinda Tz hata kwa dawa.
Ni kweli kabisa maana hata Wakunya wenyewe wanajua kuwa Tzn ni 🔥🔥ila sijajua hao Rand wa South Africa wanatoa wapi hizi taarifa ikiwa source zingine zinaweka Tanzania kwenye top 5 Kwa miaka ya karibuni.

Kuna hii hapa pia Kwamba imechukua average ya miaka 10 Iliyopita

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1730627695447302329?t=wQPZswCIUSZQW31_h29cEQ&s=19
 
kuna wakenya wapo humo ndani!
Ila hiZi taarifa za kutudogoisha jamaa wanazitoa kimkakati sio bure.. kenya ni jirani ambae ni adui yetu mkubwa kabisa, katika washenzi hatufai kuchekanao basi ni wao... Wao wanajua dunia ikijuw ukweli kuhusu what happening in Tz foreign investments zote zilizowekeza kwao zita'shift capitals zao to Tz kwahyo ni bora kwao kutukandia in so many ways ili apate nafuu
 
One thing that Ruto is quite serious about is Affordable housing projects and Social Housing Projects.

Kibera Soweto and Mukuru housing projects are among the biggest housing projects in Africa currently.

I got opportunity to check on Jivanjee Gardens

View: https://youtu.be/D7CK2XLnDtM?si=QABp2lbz4_vvfJ_S

We uso mbovu uliokosa exposure unazijua biggest housing projects in Africa zinafananaje.? Tuliza tako hilo, hivyo ni vimeradi vidogodogo vya nyumba in Africa, havifiki hata level ya kati
 
manzese enzi hizo kbla hata ya BRT huna aibu nenda kalete picha la leo 2023
Manzese kabla ya BRT indeed.
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750.jpeg

Unasemaje sasa bongolala?
 
Back
Top Bottom