Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatakaje? Au Chalamila ndo mtu serious kwako? Mimi naona yuko njia sahihi kuwa-push makandarasi wa kichina kuja na mipangokazi ya kumalizia miradi yao iliyochelewa!
Mm siongelei mambo ya chalamila naongelea waziri kwenda kushuhudia utiaj saini wa 7km hii hapana kwakweli 😅😅😅😅

Kitu ya kufanywa hata na katibu mkuu wa wizara au hata mkuu wa wilaya
 
Hilo kundi lina ugumu gani? Si nyie mlisema hapa Al Ahyl ni unga unga au sio nyie? sasa leo limekuwaje kundi gumu?
 
Ila yanga wamechezea mpira mkubwa sana kwa kweli yanga itashangaza africa 🤗🤗
Kiongozi hi ni champions league tunacheza objectively. Mambo ya anayo anayo sijui kampa kampa tena hayo tumewaachia wazanzibari.
 
Huyo huwa ni mjinga siku zote, hakuona goli tulilowakosa dakika za mwisho, hii Yanga ina mapungufu machache sana tukiyafanyia kazi tutakuwa one of the best football team in Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…