Acha upumbavu kuwa na gari sio sifa embu imagine hao wote wangekuja na magari wangepaki wapi na pia hiyo traffic ingekuwaje plus wanatunza mazingira.It shows poverty.
Everything hapo inaonyesha umaskini
US kila worker anatoka na gari yake Tena gari ya maana.
China ndio ifike level za US lazma wawe na economy ×4 ya US.
HUWEZI KUWA superpower na per Capita less than 15k!!!!!
Hiyo concept wewe mpikia kuni sitarajii uelewe hata kidogo.