๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Sasa kama criteria zinazoangaliwa kupima ukubwa wa entertainment industry ni revenue generated.. we kima unadhani mnatuweza kwenye revenues zenye wanapata TV stations in Tz through entertainment.? , concerts and parties .? I don't even think if you are anywhere close to our league as far as entertainment is conserned.. showz zote za Tz ni full house, iwe ni show kwenye music, nifhani hii discussion nafaa kufanya na Nigerians au South Africans sio nyie wanuka mavi or elsewhere I'm Africa.. ni nchi mbili tu in Africa ndio zinaweza kuwa competitive to us likija suala la entertainment.. kwa mfano tunazo concerts nyingi mno in Tz eg hizi ๐
View attachment 2825531View attachment 2825534.. hii ni discussion inaweza kuwa na maana kama tutajadili na Nigerians mzee ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ sio wewe kima. Hata tukizungumzia vipato vya wasanii still sisi ni baba wa sector in East and Central Africa.