Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tahmeed is not owned by one person. The major shareholder of Tahmeed who owns the majority of buses is in Mombasa, huyo wenu wa Tanga is just a joyrider.
Wewe kima, Tahmeed huyo ni raia wa Tanga nimeshakutananae kwenye maulid mara kibao, namjua hadi kwake.. sasa sijaelewa wewe unaeishia kuona tu taarifa za kimtandaoni una lipi la kuniambia kumhusu yeye. Actually Tahmeed ni moja kati ya watu waliotoa mchango mkubwa katika kutengeneza mskiti wetu "Markaz" NOORILHUDA pale Donge Tanga. Sasa sijajua wewe mnuka mavi wa kibera utaniambia nini
 
Wewe kima, Tahmeed huyo ni raia wa Tanga nimeshakutananae kwenye maulid mara kibao, namjua hadi kwake.. sasa sijaelewa wewe unaeishia kuona tu taarifa za kimtandaoni una lipi la kuniambia kumhusu yeye. Actually Tahmeed ni moja kati ya watu waliotoa mchango mkubwa katika kutengeneza mskiti wetu "Markaz" NOORILHUDA pale Donge Tanga. Sasa sijajua wewe mnuka mavi wa kibera utaniambia nini
Alikuambia yeye ndio mwenye Tahmeed? Hata mimi naezakutana mtu na nimwambie ENA Coach buses ni zangu😂😂😂 Ebu tuambie jinake I want to confirm something?😂😂😂
 
Alikuambia yeye ndio mwenye Tahmeed? Hata mimi naezakutana mtu na nimwambie ENA Coach buses ni zangu😂😂😂 Ebu tuambie jinake I want to confirm something?😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Matajiri wote wanajulikana mzee wangu. Kwani ni mpaka nimuulize.?
 
Ndani ya bus kuwepo na dustbin ni sheria kwa Tz hiyo.. hakuna bus hata moja yenye haina dustbin in case you don't know. 🤣🤣🤣🤣..na ndio mana nakwambia unaleta vitu regular tu by Tz's standards.
Mnatupa vitu kutumia madirisha, ama unadhani sijui?
 
It shows poverty.
Everything hapo inaonyesha umaskini

US kila worker anatoka na gari yake Tena gari ya maana.
China ndio ifike level za US lazma wawe na economy ×4 ya US.
HUWEZI KUWA superpower na per Capita less than 15k!!!!!
Per capital ni nini.? Ikiwa majority ni homeless.? 🤣🤣🤣.. per capital haikisi uchumi wa kweli wa kila mtu. Per capital ni moja kati ya vipimo vya kipumbavu kupima individual development of a certain country.
 
Hii ni lorry with passengers seats😂😂😂
Nani anapinga?
1700899909798.jpg
 
You are talking of what you don't know. Kenyan buses have bus chassis, kama mlikuwa mnatumia lorry chassis kutengeneza basi that's upto you. Again all buses in the world are made using square pipes but I don't expect you to know that😂😂😂. Hata hizo michina mko nazo zimetengenezwa kwa kutumia square pipes.
Shida kuu ya chasis ya roli ni uzito tofauti na mzigo ulio beba, matajiri wa enzi hizo wanajua jinsi mizani zilivyo wafilisi, abiria na mizigo kidogo gari unaambiwa imezidi uzito, pili chasis zilivyo nzito ziliwafanya madereva kukimbia sana wakidhani wako stable kumbe ukibeba abilia ni sawa na tanker mzigo wake hauko stable ajali zilikuwa nyingi sana, sasa hivi kwa chasis zinazokuja na basi za kichina, zina boot space kubwa, zina double exel nyuma, chuma inajaza abilia na parcels za kutosha huko chini bila kuzidisha limit ya uzani, kibiashara iko sawia, sheria yetu ya 80kph plus VTS bila kusahau hali ya barabara imefanya sasa hivi iwe safe mno kusafiri na bus za kisasa, muacheni mchina kwenye finishing ya ndani bwana, apewe tu maua yake pili ni affordable na inakupa faida kwa muda mfupi. Nchi ya zambia wale jamaa wanapenda sana starehe barabarani japo road zao changamoto ila mchina wamemkubali pia. Nchi za asia hasa arabic countries, europe na south america wamekubali buses za kichina ww mkunya ni nani kuziona ni uchafu? Endeleeni kupanda basi zenye finishing ya vitambaa vya sofa kwa maana kunguni nao hawata waacheni kamwe.
 
Modern Coast is not even among the top 10 currently. Why are you dreaming? For EasyCoach, they have more buses kuliko top 5 Tanzanian bus companies combined 😂😂😂
THOSE TZ buses just look cheaply chinesish at a glance
 
🤣🤣🤣🤣 Only in Kenya where English determines someone's education level.. no wonder wewe ni walking died.
Did you study business in School? And if you studied what language were the books published in?😂😂😂
 
Back
Top Bottom