Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Sasa huoni kama hiyo body ya bus imebebwa juu ya lory.? 🤣🤣🤣 Au wewe ni kipofu.? Ulidhani KLM ni kampuni ya kijua kali.? Bases zao hizi hapa 👇
Sasa huoni kama hiyo body ya bus imebebwa juu ya lory.? 🤣🤣🤣 Au wewe ni kipofu.? Ulidhani KLM ni kampuni ya kijua kali.? Bases zao hizi hapa 👇
these guys have no idea about the ghost cities of china because people are so poor to afford them....USA development is organic and real.It shows poverty.
Everything hapo inaonyesha umaskini
US kila worker anatoka na gari yake Tena gari ya maana.
China ndio ifike level za US lazma wawe na economy ×4 ya US.
HUWEZI KUWA superpower na per Capita less than 15k!!!!!
Wewe ndio ulikuwa expert wa mabasi?😂😂😂 With this reasoning do you even know a thing about buses and trucks? If I show two pictures of chassis, can you differentiate ni gani ya bus na gani ya lorry? The time Kenya was using lorry chassis ilishapita saa hii most of our buses use bus chassis except for the ones going to Congo, Rwanda and Uganda.Shida kuu ya chasis ya roli ni uzito tofauti na mzigo ulio beba, matajiri wa enzi hizo wanajua jinsi mizani zilivyo wafilisi, abiria na mizigo kidogo gari unaambiwa imezidi uzito, pili chasis zilivyo nzito ziliwafanya madereva kukimbia sana wakidhani wako stable kumbe ukibeba abilia ni sawa na tanker mzigo wake hauko stable ajali zilikuwa nyingi sana, sasa hivi kwa chasis zinazokuja na basi za kichina, zina boot space kubwa, zina double exel nyuma, chuma inajaza abilia na parcels za kutosha huko chini bila kuzidisha limit ya uzani, kibiashara iko sawia, sheria yetu ya 80kph plus VTS bila kusahau hali ya barabara imefanya sasa hivi iwe safe mno kusafiri na bus za kisasa, muacheni mchina kwenye finishing ya ndani bwana, apewe tu maua yake pili ni affordable na inakupa faida kwa muda mfupi. Nchi ya zambia wale jamaa wanapenda sana starehe barabarani japo road zao changamoto ila mchina wamemkubali pia. Nchi za asia hasa arabic countries, europe na south america wamekubali buses za kichina ww mkunya ni nani kuziona ni uchafu? Endeleeni kupanda basi zenye finishing ya vitambaa vya sofa kwa maana kunguni nao hawata waacheni kamwe.
Imagine mkenya kubeza standard za china 🤣🤣🤣🤣 only in JF. Aisee hii kali ya mwakaHizo buses zao ziko cheap sana. Buscar Moja inanunua hizo Chinese boxes zao tatu😂😂😂
Nimekuuliza ukitoa easy coach na modern coast nani mwenye bus nyingi kenya nitajie kampuni tatu tu nasubiria 😅😅😅😅😅😅😅
Imebebwa juu ya lorry sababu when imported it didn't have a chassis, the investor only imported the body alafu akaieka kwa lorry chassis 😂😂😂. Ama hapa penye imebebwa unaiona ikiwa na miguu?Sasa huoni kama hiyo body ya bus imebebwa juu ya lory.? 🤣🤣🤣 Au wewe ni kipofu.? Ulidhani KLM ni kampuni ya kijua kali.? Bases zao hizi hapa 👇View attachment 2824482View attachment 2824483View attachment 2824484.. wana mpaka trucks zao 👇View attachment 2824487.. usifosi tufanane mjomba 🤣🤣🤣
Mbona hamtaki kuambiwa basi zenu ni cheap? And most of them are refurb😂😂Imagine mkenya kubeza standard za china 🤣🤣🤣🤣 only in JF. Aisee hii kali ya mwaka
Uko sawa kabisa, body ndio huwa nzito, zile body zenye vyuma vya ujenzi na chasis ya roliWewe ndio ulikuwa expert wa mabasi?😂😂😂 With this reasoning do you even know a thing about buses and trucks? If I show two pictures of chassis, can you differentiate ni gani ya bus na gani ya lorry? The time Kenya was using lorry chassis ilishapita saa hii most of our buses use bus chassis except for the ones going to Congo, Rwanda and Uganda.
Again uzito ya gari hailetwi na chassis but the body, chassis are always standard but it's now the body marker who will either come up with a heavier bus or lighter bus.
Toa mfanoMbona hamtaki kuambiwa basi zenu ni cheap? And most of them are refurb😂😂
Unataka za 200-300 nikuonyeshe?Nimecheki kwenye page za easy coach, wanapost bus namba kati ya 430 hadi 500, bus zenyewe ni isuzu npr zenye barge ya Mercedes-Benz, bus kumi ndio wapata yutong f12 moja, modern coast nae sidhani hata bus 20 zafika
Sasa we mpumbavu kama nchi inaweza kuwa na miji mingi, mikubwa mizuri (kuliko US cities) mpaka wakaweza kujenga miji mingi mingine ambayo watu hakuna humo, huoni kwamba hilo taifa linajiweza sana.? Kujenga miji mipya from the scratch it's a lot of money. Wacha kula chuki za walioshindwa wewe westerners. Eti US economy is organic and real 🤣🤣🤣🤣🤣these guys have no idea about the ghost cities of china because people are so poor to afford them....USA development is organic and real.
Are you aware that the steel that we use in Kenya is the same type of steel used all over the world to build buses? Are you aware that most of the buses you import as chassis only huwa mnamount on a lorry chassis? I doubt kama unajua anything concerning busesUko sawa kabisa, body ndio huwa nzito, zile body zenye vyuma vya ujenzi na chasis ya roli
Mfano ya cheap ama refurb?Toa mfano
Cheki huu mgoli kipre junior 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C0CgpxPL2L1/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Sioni kitu ya kufanya hiyo box iitwe VVIP bus
Whenever I see this account I remember the death of Magufuli how I roasted you hadi hile account ingine ikachapwa ban😂😂😂. Hamkupenda the truth I was saying, since I didn't want to come with a different name. I decided to start this with the same name as the old account.Watanzania, mnamkaanga huyu mwehu hadi kichwa kinawaka moto
View attachment 2824519
Vvip with just two screens?So hiyo ni VVIP? 😂😂😂 Can even get to these level?😂😂😂
View attachment 2824331