ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Kazi ya kuifungua Nchi inaendelea 👇
View: https://www.instagram.com/p/Cz_31vqNny0/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
View: https://www.instagram.com/p/Cz_31vqNny0/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Hii site, club bilicans na pale kona ya kuingia station zimekaa wazi for ages now, wazijenge sasa otherwise walivunja existing buildings kwa sababu gani sasa?
Roho kikorosho ya JPM ilivunja Club Bilicanas na Much more!Hii site, club bilicans na pale kona ya kuingia station zimekaa wazi for ages now, wazijenge sasa otherwise walivunja existing buildings kwa sababu gani sasa?
Siasa za roho mbaya za Mwendazake 😁😁Hii site, club bilicans na pale kona ya kuingia station zimekaa wazi for ages now, wazijenge sasa otherwise walivunja existing buildings kwa sababu gani sasa?
Ugali na teargas ndio inatamani ukufe sio mm 😅I know unatamani nikufe. At least Mimi nikikufa saa hii I'll be buried in my country. Wewe ukikufa utazikwa kwa nchi yenye hata sio Yako. Kwanza utazikwa rapped in a gunia just like a dog.
Mbona mumuite Zakayo kaunda uongoman wakati wote ni wale wale!Na imagine ni CEO wa Equity. Hapo kwenu CEO wa bank kubwa Zaidi lazima awe Mzungu, Mwarabu, Mhindi, Msauzi ama Mkenya.😂