



MNF ni 32fl each na TPA ni 40fl1.PPF 35 flr U/C
2.Mzizima towers A&B 35flr, 33flr
3.PSPF TOWERS A&B 35flr each
4.MNF TOWERS A&B 30flr each
5.TPA TOWER 35flr
6.RITA TOWER 30flr
Millenium tower 30flr
Izi nyumba kumi zenye floor 30 kwenda juu Mombasa mzijibu basi tumalizane naona Mombasa nayo inafananishwa na Dar kila uchao
Mkimaliza izo tyonyesheni any Mall mko nayo apo Mombasa tafadhali
Ongezea na poor security situation within Kenya due to weak police force because of corruption and tribalism.Matunda ya unemployment
View attachment 634492
Mombasa ni mji wa Mashogakama tu Mombasa
1.PPF 35 flr U/C
2.Mzizima towers A&B 35flr, 33flr
3.PSPF TOWERS A&B 35flr each
4.MNF TOWERS A&B 30flr each
5.TPA TOWER 35flr
6.RITA TOWER 30flr
Millenium tower 30flr
Izi nyumba kumi zenye floor 30 kwenda juu Mombasa mzijibu basi tumalizane naona Mombasa nayo inafananishwa na Dar kila uchao
Mkimaliza izo tyonyesheni any Mall mko nayo apo Mombasa tafadhali


mashallahMNF baby
Pia wale wanaosemaga Pspf Sawa na TPA angalieni hizi picha hapo chini .
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Do yourself a favour and Google nyali centre complex mombasa... I will give you just that one.This is aim mall in Arusha ,
show me a any mall in mombasa better than this one or anyone hottest in mombasa raha. ..![]()
![]()
![]()


.Safii sana kumbe wakenya mna kadi za kliniki ndogo kiasi hiki, ur deserved to be out of LDC..View attachment 634667View attachment 634667
Duhh wazee wameshadanganya ulimwengu😀😀kwa wale mnaofahamu vizuri geographical features za lake victoria,naomba mniambie hili jiwe maarufu linapatikana upande gani wa ziwa?,mwanza au kisumu?.
![]()
Imeanza juzi tu miaka yote mlikua wapi???😀😀
yenu si imeanza jana. we already talked about this before... acha kuzunguka mbuyu kama paka anafukuza mkia wakeImeanza juzi tu miaka yote mlikua wapi???😀😀
Nyinyi mkihangaika na 30floors....sisi tutakua tukiongea kuhusu over 40,50,70 floorsWatakuambia mji sio majengo ni GDP na Ring Roads
Kama Nairobi inatembelea Kichwa kwenye hiyo list hapo juu hata baada ya uchimbaji mafuta ( Excavation) na finally construction yaani baada ya Miaka mitatu hadi minne. Mombasa je? Si itakua ulimi nje Kama ....,...........
Je Miaka mitatu na minne Dar itakua imezubaa tu hamna Jengo lingine ? Itakua ni mchakamchaka tu .
Too bad the Hunter become the Hunted.
Pale Mombasa nakubali eneo moja Tu, English point Marina .Ambayo Zanzibar itaifunika soon and Amber resort.
kwenye google earth kuna wakenya wameamua kaweka hiyo picha ya jiwe maarufu la mwanza kuitambulisha kenya.Duhh wazee wameshadanganya ulimwengu😀😀
