Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watakuambia mji sio majengo ni GDP na Ring Roads

Kama Nairobi inatembelea Kichwa kwenye hiyo list hapo juu hata baada ya uchimbaji mafuta ( Excavation) na finally construction yaani baada ya Miaka mitatu hadi minne. Mombasa je? Si itakua ulimi nje Kama ....,...........

Je Miaka mitatu na minne Dar itakua imezubaa tu hamna Jengo lingine ? Itakua ni mchakamchaka tu .

Too bad the Hunter become the Hunted.

Pale Mombasa nakubali eneo moja Tu, English point Marina .Ambayo Zanzibar itaifunika soon and Amber resort.
usisahau mtono marine jamaa anafukia bahari 30 acres na kujenga the largest water park in africa na mpaka sasa ujenzi umefika over 70%
picha ya april 2017
mtoni-marine_zpsh0bm7f1o-png.524074
 
kwenye google earth kuna wakenya wameamua kaweka hiyo picha ya jiwe maarufu la mwanza kuitambulisha kenya.

ukiingia kwenye app ya google earth ku- search kenya,utaletewa ramani ya kenya na hiyo picha ya jiwe.

yaaani nilipoona nikaishia tu kucheka...hakika wakenya ni washenzi.
alafu tanzania ikiwachukulia hatua za kisheria wanakasirika😀😀😀😀😀😀😀
 
Ok for now but another 4yrs to come Nairobi will be competing on it's self on towers over 40 floors in this continent
where are they????bado ziko kwenye karatasi😀😀😀😀 unafkiri 4 yrs tutakua tunawaangalia tu😛😛😛😛
 
where are they????bado ziko kwenye karatasi😀😀😀😀 unafkiri 4 yrs tutakua tunawaangalia tu😛😛😛😛
Nyinyi mlishiwa fedha ya kujenga majengo marefu kitambo,sasa tulieni muone baba yenu Nairobi akipa anga za kimataifa
 
Nyinyi mlishiwa fedha ya kujenga majengo marefu kitambo,sasa tulieni muone baba yenu Nairobi akipa anga za kimataifa
tuliishiwa vp na majengo yanajengwa😀😀😀😀😀 ikipaa kwa renders labda😛😛😛 maana hiyo prism tower mumedanganya ulimwengu ni 32fl kumbe hata 30 haijanusa🙄🙄🙄🙄
 
tuliishiwa vp na majengo yanajengwa😀😀😀😀😀 ikipaa kwa renders labda😛😛😛 maana hiyo prism tower mumedanganya ulimwengu ni 32fl kumbe hata 30 haijanusa🙄🙄🙄🙄
Nionyeshe jengo hata moja huko dar lenye liko proposed
 
kwenye google earth kuna wakenya wameamua kaweka hiyo picha ya jiwe maarufu la mwanza kuitambulisha kenya.

ukiingia kwenye app ya google earth ku- search kenya,utaletewa ramani ya kenya na hiyo picha ya jiwe.

yaaani nilipoona nikaishia tu kucheka...hakika wakenya ni washenzi.
Kuna ya kisumu inaitwa Kit Mikayi,si eti wameiba...nimejionea mwenyewe
 
afadhali Mombasa inakaa very sexy.......ujanja wa tower tatu za Dar hazijasitiri umaskini wa mji huo.
ukisikia hayo maneno ujue ndio etc. ..
Weka picha za tandale kabisa naupike pilau la sherehe
 
Ok for now but another 4yrs to come Nairobi will be competing on it's self on towers over 40 floors in this continent
Walishatangulia wenye 50+ na 40 mob nyie ndio mnaota Leo
Nenda Jozi ukajionee or Cairo...
what New is that pinnacle only and other cities like Durban have render for 88 flr building and tunis 100 flr building so it's not going to be alone anyway
 
wakikuonesha wapi pinnacle na montave inajengwa nitag hapa hakuna ujanja😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom