Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is just a tunnel. Mnataka mfunzwe hadi lini? Kumbe mwenye alisema watanzania wengi vichaa hakukosea.
🤣🤣🤣🤣 Utakufa kijana, according to this definition, basically a tunnel referes to an underground way 👇
Screenshot_20231120-232608_1.jpg
 
lakini tanzanians...reasoning yenu is just underwhelming........hicho kidimbwi ndio subway au?lol
 
🤣🤣🤣🤣 Kwahyo kumbe kijamaa kinadhania ni joke 🤣🤣haya kula chuma hicho 👇View attachment 2820258View attachment 2820260View attachment 2820261View attachment 2820264View attachment 2820265inside the underground railroad 👇View attachment 2820267.. unseen Dar , u never seen this side of DAR👇View attachment 2820268🤣🤣🤣 haya nenda kaandamane sasa
uswazi hovels had to be somewhere..lol...so ni nini inakufurahisha na hii picha......a four lane basic road?
 
Four basic lanes road.? 🤣🤣🤣 We are no longer using four lanes roads in DSM especially our major roads like that one.. 👇View attachment 2820280hebu ona 👆 ni four lanes hizo.? 🤣🤣
i pray one day you travel to a serious country like Kenya.....you will go back questioning your ccm government.what is this you are posting exactly....lodwar and lokichoggio or lokichar have better roads than what you are posting
 
i pray one day you travel to a serious country like Kenya.....you will go back questioning your ccm government.what is this you are posting exactly....lodwar and lokichoggio or lokichar have better roads than what you are posting
Ntakuja kuona BRT huko kenya.? 🤣🤣🤣 Barabara zenu ndio basic you can find them anywhere even in burundi. Four lanes roads ni kitu ya ku brag humu kweli.? 🤣🤣
 
lakini tanzanians...reasoning yenu is just underwhelming........hicho kidimbwi ndio subway au?lol
Ni subway — Railway passage under a street. Lakini hata kama hutaki, Dar itajengwa subway posta na maeneo ya Gerezani as part of the proposed metro railway system. Kwasababu katikati ya mji barabara ni nyembamba (elevated and grade level railway ni impossible), viable option ni kujenga underground. The plan is already published.
IMG_7881.jpeg
 
Hivi hawa nyumbu walichagua Rais au HR wa makampuni ya wazungu? 😂😂😂 Too low kwa Rais mzima wa nchi kuzunguka duniani kuwakuwadia wananchi wake kazi za shuruba 😂😂😂

Awadanganya washamba Germany itawapa ajira 200k, hivi hawa wanazungumza Kijerumani?


View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1726230522303508515?t=1RhwHQCivpO01D9bZmsaAw&s=19

Huyu sio Raisi bali ni agent wa recruiters 🤣.
I wont be surprised if he goes to Germany with main agenda of finding Kenyans jobs in Europe 🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom